Recent content by Makokomakoko27

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Kituo cha SUMA-JKT, Mgulani-Dar: Rais Magufuli atoa mwezi mmoja kwa Taasisi zinazodaiwa na JWTZ kulipa

    Dakika moja mnalalamika serikali kutumia mapato yake kufanyia shughuli za maendeleo makubwa kama kujenga reli ya kati. Tukikopa mnaanza kulalamika ooh deni limekuwa ku.bwa. Hamjui hata mnacho taka.subiri dereva mpaka atakapo ssimama!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jibu kwa Hussein Bashe na Zitto Kabwe wanaong'ang'ania SGR kupitia Kigoma hadi Burundi

    Mzee umeshuka na fact na figure safi sana. Tuleteeni na fact za zitto tulinganishe mi naona zitto anasababu za kisiasa tu wakati mleta mada kaja kiuchumi zaidi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Khaaa,we wa wapi.?? hama nchi ,acha uvivu uone raha ya magu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kiwanda (factory) na Viwanda (industry's) na majukumu ya Serikali katika hili

    YERICKO hata kwenye mambo ya kitaifa unaleta uchadema wako ebu kuwa kidogo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Jeshini: Mpambe wa Rais apandishwa cheo na kupangiwa kazi nyingine, Kanali Mulunga awa mpambe mpya

    Hiyo ni tarehe aliyo fanyiziwa kitu mbaya mzee kimambi mnashangilia tu hujui kuwa huenda mange ana chuki kubwa nchi hii. ila nyumbu mnataka kuingia kichws kichw tu poleni
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wakuu wa mikoa wanaofanya vizuri kuliko wengine

    mnyongeni lakini haki yake mpeni Alipambana na madawa ya kulevya ingawa alipata misukosuko mikubwa lakini ameshinda ,ona mateja walivyo pungua
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye na Hekima za mfalme Suleimani

    NAPEEE UNAFAA SANA ILA HUNA SUBILA. MAMA MALECHELA ANA SUBIRA IGP MSTAAFU ANASUBIRA. WEWE ENDELEA TU NAMIPASHOO UNAKUWa KAMA CHADEMA BWANA!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Diwani amcharukia Magufuli: Hakuna Mwananchi atakayefyeka bangi kwenye kata yangu

    ni Diwani wachadema nini.??Maana hao huko kwao kama kambale tu!!!?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa wanasiasa wa upinzani nchini

    Una nia nzuri lakini umeanza kuwa mbaguzi hata kwa jambo linalowahusu waTz wote. KUNA TABU GANI UNGESEMA NDUGU ZANGU WOTE .WEKENI PASS WORD KWENYE SIMU ZENU.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Huyu mkuu si wa mchezo huu mwezi tangu uanze ni kufungua mavitu mapya tuu. na kila akifungua lazima atupie neno kuhimiza maendeleo na amani si mchezo watu wengi wanazidi kumwelewa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huu ni uchochezi wa hali ya juu, Hili gazeti habari Maelezo Mnatawaka nini watanzania?

    WE JAMAAA ,UMEFANYA VIZURI SANA,KUTULETEA HEADING ZA TUNDU LISU KUU MBUKA.ngoja nitayarishe buku nikanunue. tuone msaliti wetu alivyo chanwa!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi za Rais Magufuli zinaishushia hadhi taasisi ya Urais

    Haaa haa awamu hii mmebanwa makende, hakuna pa kutokea, hakuna kuitwa ikulu mkanywe chai ,ukileta fyokofyoko SEGEREA TU. wewe unataka lugha ya staha ya nini, safari hii karai litaitwa karai,n yie nyumbu mnayo staha hadi utake staha, kwa taarifa yako watz wanapenda sana hiyo lugha ya moja kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nimepata taarifa za ndani kuwa ninatafutwa na Polisi baada ya mkutano na waandishi wa habari

    sasa we unaogopa nini. si unapenda kuwekwa ndani. ili upate kiki!!
Back
Top Bottom