Tahadhari kwa wanasiasa wa upinzani nchini

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,797
Reaction score
165,543
Wapinzani,mara kwa mara tumewasikia mkilalamika kukamatwa na kushitakiwa kwa makosa ambayo mnayaona si ya haki bali yako kisiasa zaidi.

Ni mara nyingi pia tumewasikia baadhi yenu mkilalamika kutaka kubambikiziwa makosa pale mnapokwenda kupekuliwa majumbani kwenu.

Vile vile tumesikia baadhi yenu mkidai simu zenu kuchukukiwa na Polisi na mambo ya aina hiyo.

Ndugu zangu,kwa kanuni hii mpya ya sheria ya makosa ya mtandao ambayo inasema ni kosa mtu kumilik simu ambayo haina password (nywila) mjue tu hii inaweza kuwa ni hatari sana kwenu mara mnapokamatwa.

Nadhani wote ni mashahidi kuwa kuna mwanasiasa mmoja machachari sana wa upinzani siku za nyuma alitaka kupimwa mkojo katika mazingira ya kutatanisha hivyo kwa sheri hii na kanuni zake hizi mpya nawashauri mjiongeze angali mapema.

Adhabu ya kutoweka neno la siri kwenye simu yako kwa mujibu wa sheria na kanuni hizi ni kulipa faini ya sh.milioni tano au kifungu cha mwaka mmoja au zaidi gerezani.

Nimetoa angalizo kwa wanasiasa wa upinzani kwasababu nilizozieleza hapo juu ila ukweli ni kuwa hili linamuhusu kila mtu mwenye kumiliki simu inayomuwezesha kuingia katika mitandao ya kijamii.

Lengo la sheria hii na kanuni zake ni kuwanyima nafasi watu wengine kutumia simu ya mkononi yenye uwezo wa kuingia katika mitandao ya kijamii,kompyuta au kifaa cha kieletroniki bila ridhaa ya mmiliki wa kifaa hicho(nia inaweza kuwa nzuri ila ndio hivyo)

Waandishi na wahariri mambo ya aina hii ndio yanapswa kutengeneza headlines kwenye vyombo vyenu vya habari kwani kutojua sheria sio kinga ya kutowajibika mbele ya sheria.

Serikali ielimishe wananchi wake kuhusu sheria hii na kanuni zake ambazo zimesainiwa hivi karibuni na waziri mwenye dhamana kwani zitakuja kuwaponza wengi.

Yangu ni hayo tu ila kwa msisitizo kila mtu akumbuke malalamiko ya watu kubambikiwa kesi.
 
Sijui sijaelewa!!!!
Yani ni lazima niweke password kweny cm yangu!!??? Ili kupata au kuepusha nini??
Kuna athari gani nayopata au atayopata mtu kwa mim kutoweka password kweny cm yangu??
Hii sheria tumeiga wapi??
 
Utaenda kujulishwa huko magereza.
 
Serikali ielimishe wananchi wake kuhusu sheria hii na kanuni zake ambazo zimesainiwa hivi karibuni na waziri mwenye dhamana kwani zitakuja kuwaponz wengi.

Yangu ni hayo tu ila kwa msisitizo kila mtu akumbuke malalamiko ya watu kubambikiwa kesi.
Ni sheria ya kipumbavu...
 
Sijui sijaelewa!!!!
Yani ni lazima niweke password kweny cm yangu!!??? Ili kupata au kuepusha nini??
Kuna athari gani nayopata au atayopata mtu kwa mim kutoweka password kweny cm yangu??
Hii sheria tumeiga wapi??
Nimeshafafanua hapo juu.
 
Tulizeni mishono,raisi John Pombe Magufuli shikilia hapo hapo,tena chukua na mijeledi.
Urais wa Tanzania ni miaka mitano tu , anayebahatika anafika miaka 10 tu , huu ni muda mfupi sana mjomba , usitende maovu hujui kesho yako
 
Kumbuka una ndugu,jamaa,marafiki na wazazi wako huko kijijini kwenu ambao JPM hawajui na ambao siku yakiwakuta hatawasaidia.
 
nikiwa kama Mwandishi/ Mwanahabari kwa Taluma ya Juu sana nalifwatilia hili kwa undani na ukaribu sana tukutane kwenye vyombo vya habari

Una nia nzuri lakini umeanza kuwa mbaguzi hata kwa jambo linalowahusu waTz wote.
KUNA TABU GANI UNGESEMA NDUGU ZANGU WOTE .WEKENI PASS WORD KWENYE SIMU ZENU.
 
Urais wa Tanzania ni miaka mitano tu , anayebahatika anafika miaka 10 tu , huu ni muda mfupi sana mjomba , usitende maovu hujui kesho yako
Baada ya Magufuli tunawaadalieni jambazi trust me hata Musiba tutamuweka pale ili awanyooshe na kuwafunga miaka miambili miambili kila mmoja wenu.
 
Wapinzani,mara kwa mara tumewasikia mkilalamika kukamatwa na kushitakiwa kwa makosa ambayo mnayaona si ya haki bali yako kisiasa zaidi.

Ni mara nyingi pia tumewasikia baadhi yenu mkilalamika kutaka kubambikiziwa makosa pale mnapokwenda kupekuliwa majumbani kwenu.

Vile vile tumesikia baadhi yenu mkidai simu zenu kuchukukiwa na Polisi na mambo ya aina hiyo.

Ndugu zangu,kwa kanuni hii mpya ya sheria ya makosa ya mtandao ambayo inasema ni kosa mtu kumilik simu ambayo haina password (nywila) mjue tu hii inaweza kuwa ni hatari sana kwenu mara mnapokamatwa.

Nadhani wote ni mashahidi kuwa kuna mwanasiasa mmoja machachari sana wa upinzani siku za nyuma alitaka kupimwa mkojo katika mazingira ya kutatanisha hivyo kwa sheri hii na kanuni zake hizi mpya nawashauri mjiongeze angali mapema.

Adhabu ya kutoweka neno la siri kwenye simu yako kwa mujibu wa sheria na kanuni hizi ni kulipa faini ya sh.milioni tano au kifungu cha mwaka mmoja au zaidi gerezani.

Nimetoa angalizo kwa wanasiasa wa upinzani kwasababu nilizozieleza hapo juu ila ukweli ni kuwa hili linamuhusu kila mtu mwenye kumiliki simu inayomuwezesha kuingia katika mitandao ya kijamii.

Lengo la sheria hii na kanuni zake ni kuwanyima nafasi watu wengine kutumia simu ya mkononi yenye uwezo wa kuingia katika mitandao ya kijamii,kompyuta au kifaa cha kieletroniki bila ridhaa ya mmiliki wa kifaa hicho(nia inaweza kuwa nzuri ila ndio hivyo)

Waandishi na wahariri mambo ya aina hii ndio yanapswa kutengeneza headlines kwenye vyombo vyenu vya habari kwani kutojua sheria sio kinga ya kutowajibika mbele ya sheria.

Serikali ielimishe wananchi wake kuhusu sheria hii na kanuni zake ambazo zimesainiwa hivi karibuni na waziri mwenye dhamana kwani zitakuja kuwaponza wengi.

Yangu ni hayo tu ila kwa msisitizo kila mtu akumbuke malalamiko ya watu kubambikiwa kesi.
Wapinzani,mara kwa mara tumewasikia mkilalamika kukamatwa na kushitakiwa kwa makosa ambayo mnayaona si ya haki bali yako kisiasa zaidi.

Ni mara nyingi pia tumewasikia baadhi yenu mkilalamika kutaka kubambikiziwa makosa pale mnapokwenda kupekuliwa majumbani kwenu.

Vile vile tumesikia baadhi yenu mkidai simu zenu kuchukukiwa na Polisi na mambo ya aina hiyo.

Ndugu zangu,kwa kanuni hii mpya ya sheria ya makosa ya mtandao ambayo inasema ni kosa mtu kumilik simu ambayo haina password (nywila) mjue tu hii inaweza kuwa ni hatari sana kwenu mara mnapokamatwa.

Nadhani wote ni mashahidi kuwa kuna mwanasiasa mmoja machachari sana wa upinzani siku za nyuma alitaka kupimwa mkojo katika mazingira ya kutatanisha hivyo kwa sheri hii na kanuni zake hizi mpya nawashauri mjiongeze angali mapema.

Adhabu ya kutoweka neno la siri kwenye simu yako kwa mujibu wa sheria na kanuni hizi ni kulipa faini ya sh.milioni tano au kifungu cha mwaka mmoja au zaidi gerezani.

Nimetoa angalizo kwa wanasiasa wa upinzani kwasababu nilizozieleza hapo juu ila ukweli ni kuwa hili linamuhusu kila mtu mwenye kumiliki simu inayomuwezesha kuingia katika mitandao ya kijamii.

Lengo la sheria hii na kanuni zake ni kuwanyima nafasi watu wengine kutumia simu ya mkononi yenye uwezo wa kuingia katika mitandao ya kijamii,kompyuta au kifaa cha kieletroniki bila ridhaa ya mmiliki wa kifaa hicho(nia inaweza kuwa nzuri ila ndio hivyo)

Waandishi na wahariri mambo ya aina hii ndio yanapswa kutengeneza headlines kwenye vyombo vyenu vya habari kwani kutojua sheria sio kinga ya kutowajibika mbele ya sheria.

Serikali ielimishe wananchi wake kuhusu sheria hii na kanuni zake ambazo zimesainiwa hivi karibuni na waziri mwenye dhamana kwani zitakuja kuwaponza wengi.

Yangu ni hayo tu ila kwa msisitizo kila mtu akumbuke malalamiko ya watu kubambikiwa kesi.

Tafadhali mkuu Salary Slip, unaweza kunitajia jina la Sheria hiyo (Short Title) au kunitajia Namba ya Sheria hiyo; Act Number au Government Notice Number ili niisome hiyo sheria kisha nifanye uchambuzi ambao nitau-post hapa jamiiforums kwa faida ya members wote.
 
Mkuu sina hizo details maana hata mimi nimesoma hii habari kwenye gazeti la TanzaniaDaima la siku ya leo na hawakufafanua sana.

Hata hivyo hapa JF nafikiri hizi kanuni zitakuwepo ila sikumbuki ni katika uzi gani hasa.
 
Baada ya Magufuli tunawaadalieni jambazi trust me hata Musiba tutamuweka pale ili awanyooshe na kuwafunga miaka miambili miambili kila mmoja wenu.
Hakuna mahali popote ambapo shetani aliwahi kumshinda Mungu
 
Back
Top Bottom