Recent content by makokomakoko15

  1. M

    Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    chaga dema bwana.! issue ya maana mmeacha mmekalia kudiscuss mtu, eti ooo maombi yangu ya kumwombe aponenayatoa!!!. Mi nilizani mtasema namna ya kuzuia mchanga usipigwe.., chadema kweli mmeisha ndembendembe???
  2. M

    Kwako Yeriko Nyerere

    Tunazungumzia utaifa wewe umesha anza kuharisha na mambo ya kichama chama .avata yako na mambo yako sawasawa
  3. M

    Polisi wazingira mgodi wa Bulyanhulu

    Wakati wanajipanga ,Ulitaka na mtu kama wewe wakuite? Sasa unajuaje wamekurupuka,? nyumbu waoga kama
  4. M

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Hivi huyo lissu anaweza,hata kugusa elimu ya profesa kabudi? Nchi ipo kwenye vita yeye bado analets mambo ya kichama chama hspa? kwani yeye kama mbunge di aende kwa wenzake atoe maoni na ushauri maalum kuliko kututisha. hapa
  5. M

    Tundu Lissu: Tutanyolewa bila maji suala la mchanga wa madini, tusikurupuke

    Eee,halafu anajiita mwanasheria msomi,sasa yeye badala ya kutoa mawazo ya nini,kifanyike baada ya kukamata mwizi,ili turudishiwe mali yetu,yeye amekazania kutu tisha tu. Je alitaka tusikamate,?Au na yeye kashahongwa?. Huyu jamaa mweupe kwelikweli, anaTetea kuibwa? mbona tulipopopigwa rada baadae...
  6. M

    Rais Magufuli anaingia kwenye vita kali

    Utakuwa umechukua mlungula si,bure.
  7. M

    Hivi watanzania wanahitaji ripoti kuhusu MCHANGA(makombo)au DHAHABU iliyozalishwa na migodi?

    aaa,hao sera yao ni kutetea maovu,si unaona,hawataki riport iletwe kwa alio watuma,yaani nyumbu wanatetemeka
  8. M

    Hivi watanzania wanahitaji ripoti kuhusu MCHANGA(makombo)au DHAHABU iliyozalishwa na migodi?

    we mzee 'kiboko' Haya sasa nyumbu jitokezeni junyoosha
  9. M

    Ningekuwa kiongozi katika vyama vya Upinzani Nisingetia timu Uchaguzi wa 2020 JPM kakaba kona zote

    Mpaka hapo wachangiaji wengi wameongea kejeri tu,tuambieni mna sera zipi ,tuwachague nyinyi wapinzani.
  10. M

    CCM 2020 itaangushwa na Hali ngumu ya maisha tuliyonayo wananchi wa kawaida Chadema itakuwa ni Sabab

    mada ya msingi? labda msingi wa mabox mimi niko zangu bush,naombea bei ya unga iendelee hivyo hivyo na cement 10000tsh.ili kusudi gunia moja sawa na mifuko 10 ya cement.we mkulima gani unalia lia
  11. M

    Neno La Leo: Adam Malima Na ' Trigger Happy Police'

    wewe umesema vyema, pale malima angeshinda ,polisi ingezaraulika sana,yaani kila ukiona ile gwanda unakumbuka yuleyule, Yule polisi alitetea jeshi lote lisidharaulike. Kumbuka kila raia anapaswa kutii sheria bila shuruti. Pale ilibidi amvunje mguu mmoja tu kama angeendelea kubisha,ili ajue...
  12. M

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Masanja matatizo yote haya yanakuja sababu ya upole wa serikali zilizo pita.nyumba za enzi hizo zingevinjwa leo watu wangeogoa kujenga ndani ya hifadhi ya barabara. Dawa ya jipu ni kulitumbua tu. Si unaona watu wanauliza serikali ilikuwa wapi maana yake mbona haikuchukua hatua.
  13. M

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    Hapo ni kazi moja tu. Vunja siasa baadae
  14. M

    Bomoa Bomoa ya TANROADS Morogoro Road Dar Es Salaam

    sheria ipo wazi na hata kwenye hiyo kesi serikari ilishinda ,hata rufaa iliyo katwa ,serikali ilishinda.Ila kuna watu wamewauzia wajinga barabarani.na waowakanunua. Msidanganywealama za roadi reserve ziko morogoro road tangu enzi za mkoloni,alama zikp,ilikuwa miti na becon ziko morogororad yote...
Back
Top Bottom