Huyo mjomba yupo tu! Na umemuacha aendelee kuishi kwa raha zake! Umezaliwa mwanaume aisee pambana upate haki yako. Mimi ninaamini kwamba kama kitu ni haki yangu hata raisi hana mamlaka nacho zaidi ya kukilinda na kukiheshimu.
Vua roho ya utu vaa roho mbaya ili uchague moja kufa au upate haki...
Around 30s bado ni resonable ege. Ingeleta ukakasi kama ungekuwa umegonga 40s.
Hapo bado unanafasi ya kufanya mambo makubwa sana yatakayo change hali ya maisha yako. Cha msingi acha kupanik jiamini kuwa bado unaweza, then panua wigo wa shughuli hizo ndogo unazozifanya angalia ambayo kidogo ina...
Hata Mark x iko stable sana barabarani, ni mwaka wa 3 sasa natumia hiyo gari haijawahi kuniletea shida hata uwe speed 180 bado unaona iko normal. Nafikiri ilikuwa siku mbaya tu kwa Marehemu. Mungu awarehemu.
Kwahiyo watakaa na kukubaliana kwa kutumia mikataba na sheria zilezile ambazo hazina maslahi kwa tanzania au? Na kama ni hivyo hakuna tulichofanya. Daah sijui tutainusuru vipi tanzania dhidi ya hawa wanyang'anyi.!!
Kwa mafundi ajali haitokei bila ya sababu. Ili ajali itokee au gari ipate breakdown kuna mmoja au wote kati ya hawa hawakuteleza wajibu wake kwa ufasaha dereva, fundi au mmiliki wa chombo.
Tusimsingizie Mungu kwa kila jambo, Nature ya Mungu alimuumba mwanadamu ili aishi zaidi ya miaka sabini...
Kuchukia sio kosa kimaoni. Na bandiko langu halijasema ni kosa kuwatakia amani waliopatwa na umauti ndio mana hata mimi mwisho wa bandiko nimemaliza kwa kuwaombea rehema. Bandiko langu linaonesha udhaifu uliopo baada ya kutamka na kuwatakia amani. Kwa experience yangu huwa tukishasema RIP na...
Ni kazi kubwa sana unatakiwa ufanye ili baadhi ya watanzania wakuelewe. Ukisoma habari vizuri utaelewa nini namanisha, lakini kama unasoma huku unafikiria jukwaa la Mmu kamwe hutanielewa.
Wakuu habari za wakati huu.
Naomba niwasilishe maoni yangu juu ya tukio hili la kuhuzunisha lililotukuta, nina huzuni kubwa toka nimesikia tukio hili nafsi yangu haina furaha kabisa.
Kama mzazi nimejivika uhusika wa kifo cha watoto wale ikiwa kama mmojawapo ni wangu kweli maumivu yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.