Kanisa la Askofu Gwajima lavunjwa

Kanisa la Askofu Gwajima lavunjwa

Atajenga lingine tu, baba askofu si maskini na tutamchangia pia ikoiwezekana ili huduma iendelee
 
MIE nilisema,kufumua Dar kuweka miundo mbinu,

ni expensive process,

wangejenga mji mpya waweke kila kitu
,
Automatically watu watahama Dar na kuufuata huu mji mpya.
 
  • Thanks
Reactions: 314
Hiyo interchange ya Ubungo inafika hadi kanisani? Kwa hiyo Tanesco tayari iko chini au?

Watch your tongue....you may loose it!
 
GWAJIMA.jpg
 
Ni ili j2 asipate sehemu kusemea ya liyomtokea lisu leo au?
 
Nilitaka kushangaa sana kwamba kanisa limevunjwa. Kumbe wamevunja jengo!. Hapo sawa maana kanisa huwa halivunjwi na sijawahi kuona wala kusikia kanisa limevunjwa!.


DAR ES SALAAM: Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima lililopo karibu na Barabara ya Morogoro eneo la Mbezi Inn limebomolewa

Updates to follow
 
Back
Top Bottom