Sijaona hoja yako ya msingi kuwalaum wanasheria hapa. Alichosema ndo anachokiamini na wewe una haki ya kusema unachokiamini kwa nn utake na wengine wakufuate wewe na hapa wewe ndo unamatatizo unafikiri wansheria ndio wanaweza kutoa maamuzi ya mwisho kwa iyo wakitoa mawazo tofauti na wewe basi...
Wapendwa salaam.
Naomba msaada wenu,katika hili ruling imetoka,hivi .respondent shall have his costs,order accordingly,nini kinafuata, na documents zipi zinztakiwa ili kupata gharama za kesi yangu?
Kila la heri.
Imani ni mahusiano kati ya mungu na binadamu. Jina uislam na ukristo havina nafasi kabisa kati ya mahusiano yako na mungu,jiulize swali kuna mungu wa wakrsito na mungu wa waislam? Wote twa mwabudu mungu mmoja. Tatizo letu ni kuwaogopa zaidi binadam kuliko mungu.wazazi wananafasi yao mbele ya...
Suala ni utendaji wake wa kazi ndo kitu cha muhimu.kwamba baba yake alikuwa balozi au GPA yake ni namna gani si jambo muhimu sana. Kama kusoma kasoma uzoefu anao,tumwombee kwa mungu awe na hofu ya mungu ili utendaji wake usizidishe maumivu kwa watanzania.
Tatizo wanawake wengine mnajivunga mno mwambie mwenzio hakuna kukojoa had mm nikwambie na kujiutuma si kukata kiuno tu mpe maneno yenye kuhamasisha mambo yaendelee sasa unakuta binti ndo kakazana kukata kiuno utafikiri mota ye ndo anafikiri anapatia ile inataka kwenda kwa step yaan m na k viende...
Oh pole sana,naomba haraka toa msaada TAMWA,au kituo cha sheria na haki za binadam,lakini pia siku hizi vituo vya polisi wameanzisha dawati la jinsia wanasaidia sana.hina haja ya kuogopa hakuna laana wala nn okoa maisha ya mdogo wako.kama unaona hilo litakuchelewesha mtoroshe mapema,hujasema ni...
Naamini sana kuwa mwanamke anaweza kuubadilisha moyo na maisha ya mwanaume na dunia ikawa mahali pazuri pakuishi. Ni wakati wako sasa kuonesha kuwa inawezekana kusamehe na kusahau maisha yakaendelea.umwoneshe upendo wote na uwajibike kama mke mwema,hakika nafsi itamsuta na hawezi kukufanyia...
Kuna msemo usemao maneno huumba. Hili jina walilopewa hawa watoto linasadifu tabia zao. Inasikitisha sana mahali nchi hii tulipofikia hizi ni ishara za kukosekana kwa utawala wa sheria na nchi kushindwa kutawalika.kila mtyu anaweza kufanya lolote kwa sababu hana hofu kwamba kuna mtawala mwenye...
Hii ndo ishara tosha kuwa elimu ya bongo haimsaidii mtu kujitegemea katika maisha ya kawaida,huyu kamaliza kidato cha nne bila shaka kafaulu vizuri hadi cheti chake kuuzwa. Kwetu elimu imebaki kufaulu mtihani na hiyo division 5 si itakuwa balaa zaidi?
Haya ndugu, au hapa tatizo ni lugha...
Mahakama imetenda kazi yake.sasa ni wakati wa kusubiri ili mwisho wa siku kila mmoja abaki na haki yake kwa wale wanaoamini katika utawala wa sheria,sasa Chadema na zitto kila mmoja amepata haki yake,ili kama baraza kuu litaamua chochote zitto ataridhika kuwa utaratibu umefuatwa.ikumukwe kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.