Pesa ndiyo siraha kuu kwenye mahusiano. Tafta hela kijana hawa wazazi wa binti lazima walainike tu mbele ya pesa sabuni ya roho!
Imani ni mahusiano kati ya mungu na binadamu. Jina uislam na ukristo havina nafasi kabisa kati ya mahusiano yako na mungu,jiulize swali kuna mungu wa wakrsito na mungu wa waislam? Wote twa mwabudu mungu mmoja. Tatizo letu ni kuwaogopa zaidi binadam kuliko mungu.wazazi wananafasi yao mbele ya mungu lakini si kila kitu wanachoamini wao basi ni sahihi na mungu anakibariki.
Katika mapenzi kinachotakiwa ni upendo wa kweli kati yenu wawili dini haina nafasi tena.
Kama kweli mnapendana kila mtu akaechini avae ujasiri awaambie wazazi wake kwa uwazi kuwa maisha ni ya kwenu na safari ya mbinguni ni ya kwenu mwenye kujua kama mnasitahili kuurthi au kutokuurith ufalme wake ni mungu na si wanadam kwa kigezo cha huyu muislam huyu mkristo.
Watakutishia laana na kukutenga lakini kamwe huwezi kupata laani kwakuwa umetimiza amri ya mwenyezi mungu ya mwanaume kumwoa mwanamke.
Komaa na mpenzi wako maisha ni ya kwenu na wala si ya wazazi wao maisha yao tayri yameshapata misingi ni hayo tu.