Recent content by makidoa

  1. makidoa

    Nani mmiliki wa jengo la TANESCO Ubungo?

    Jengo la lowasa hilo
  2. makidoa

    Peter Kibatala: Tuko tayari kwa safari bila kujali nini kimemtokea rafiki yetu,Rais wetu, katika mapambano

    Hivi mbona huyo dereva hamtaki akahojiwe kuna nn ,yeye ndo shahidi wa kwanza so why
  3. makidoa

    Ansbert Ngurumo: Muda wowote naweza kufa maana natishiwa kifo

    Mmmmmh waongo wakubwa mambo ya kuzusha tu hayo,akufukuzie nani,mnapenda kiki upinzani,maana ukisema unataka kuuwawa watu wataweka attention kwake
  4. makidoa

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Anaolewa na mtoto wa waziri mkuu Majaliwa,amesema inatosha bac,nampongeza sana,ukiona hapaeleweki just move on
  5. makidoa

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Za kunyapianyapia ni mtoto wa Kasim Majaliwa
  6. makidoa

    Tofauti ya pole Kwa Lissu na wengine ni Twitter na Official document of Goverment

    Kuna dharura wanaweza fika even 10 minutes Sent using Jamii Forums mobile app
  7. makidoa

    TCRA: Kwanini watanzania wana support matusi ya mitandaoni kwa Mh. Rais Dr John Magufuli?

    Hana uraia USA yule wacha uongo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. makidoa

    Harusi ya mdogo wangu ilivyochukua wazazi na ndugu zangu wote

    Daaaaaah pole sana ni uchungu mkubwa sana lkn yupo mwenye tumaini jipya,Allah pekee Sent using Jamii Forums mobile app
  9. makidoa

    Hamisa Mabeto na fahari ya kuzaa na mume wa mtu

    Mume wa mtu hembu pambana na hali yako aiseeee,Mondi hajaoa bado Sent using Jamii Forums mobile app
  10. makidoa

    CNN: Makampuni 5 ya uchimbaji dhahabu hayajawahi kulipa kodi ya dola bilioni 40 tangu 2000

    Hivi upinzani mnafurahia sana serikali hii iki fall sio?? Kuna upuuzi mnaoushabikia km wendawazimu? Magu hatafell na nchi itasonga mbele,kwann mnatetea wezi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. makidoa

    Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

    Mdada full fake mpk kope
  12. makidoa

    Mrembo wa kichaga anayewadatisha wasanii wa kimarekani

    Umesema kweli fake kila kitu huyu dada
  13. makidoa

    Prove Me Wrong: Kwamba 85% ya wadada wanaopatikana humu JF ni Wabaya Wa Sura adi Maumbo

    Sura km halima unaionaje kwa mfano [emoji23] [emoji23]
  14. makidoa

    Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

    Hata yeye pia kauliza so bandari ndo wanamajibu
  15. makidoa

    Taifa stars vs south Africa ,vilaza wawili wa soka wanaminyana hapo baadae ,

    Wewe ndo zaidi ya kilaza mkubwa,ndo umeandika utumbo gani,mijitu isiyo wazalendo siipendi kabisa
Back
Top Bottom