siku nyingi ulipotea sasa umerudi na uganga wako ,chadema iliyodhaifu wewe una cha kuumiza au unazuga.kwanini usitumie nafasi ya udhaifu wa cdm kutengeneza ccm ya kushawishi watu sio hii ya kuteka na kununua ?
we kilaza kama mnakubalika mbona kushinda uchaguzi mpaka msaidiwe na nguvu za dola ,kwanini mununewe viongozi ili wajiunge na chama mfu sema kwa udikteta wa mwkt wenu watu wengi majasiri watauwawa
waliopewa kipaza sauti wao hawakwenda kuzika shida yenu ccm ni ushirikina unawatawala angepewa mda wa kutoa pole nini kingeaharibika mbona bendela za ccm zilikuwa zinapepea na watu hawasema ni siasa kuvaa gwanda ndo umeona leo akili za makario shida
iyo barabara haina ubize wowote labda siku ya mechi either ya simba au yanga nashangaa eti ameondoa kero ipi sehemu isiyo na watu wengi kiivyo sawa na mataa ya chato ya nini wakati barabara gari za kuhesabu
dawa ni jino kwa jino kwani wao hawana watoto kwanini nao wasitekwe maana utekaji kama umehalalishwa, somalia ilikuwa na vikundi zaidi ya 20 ni wakati wa upinzani kutengeneza vikundi vya kujilinda akitekwa wa uku mnateka wa kule ngoma inakuwa sluu.kulialia basi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.