Magufuli nimfahamuyo mimi ni yule mtenda haki. Pia ni mpenda haki. Magufuli hatomwacha yeyote mwenye cheo chochote ambaye amefoji cheti.
Shida niionayo hapa kuwa mada kubwa imekuwa Makonda. Watu wanataka wampangie rais kazi. Tena hoja ya Makonda inaendeshwa kichuki.
Swala hapa nikuweka usawa katika taifa siyo kila kitu Makonda. Achilia mbali kauli ya waziri Kairuki Magufuli atatenda haki. Hoja ni kuwa haki itendeke. Kuna viongozi wengi wamefoji vyeti siyo Makonda pekee . Kwanini kelele zote ni kwa Makonda ?
Mfano ni huu kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao vyeti vyao vina utata lakini aliyekuwa anapigiwa kelele ni Makonda pekee.
Tuvute subira ili tupate heri. Rais ameamua kusimama mkono wa haki ili aitende. Rais atatenda haki. Natabiri ndani ya muda mfupi maagizo yatatolewa ya mwendelezo wa uhakiki hadi kwa wabunge na wakuu wa mikoa na hatimaye Mawaziri. Wote hao wanatumia pesa za serikali.
Rais wangu simama mkono wa haki ukaitende. Wapenda haki tuko nyuma yako.
Tunakuombea na kukutakia heri zote. Principe iko wazi kuwa mtu apandacho ndicho atakachovuna. Naunga mkono feki wote waondoke ili wenye haki yao waipate
Babu okotaokota wa Ifakara.