Kamati ya maadili ya Bunge

Mila na desturi zetu, Halima mdee alitakiwa apate adhabu mara mbili. Mtoto akikosa Mama akataka kumwadhibu akakimbilia kwa Baba yake, hiyo ni dharau, baba naye anamwadhibu ili ajutie kosa lake.
 
Mila na desturi zetu, Halima mdee alitakiwa apate adhabu mara mbili. Mtoto akikosa Mama akataka kumwadhibu akakimbilia kwa Baba yake, hiyo ni dharau, baba naye anamwadhibu ili ajutie kosa lake.
Kweli kabisa, binafsi nilishangaa sana Zitto Kabwe kumtetea kisa eti ameomba msamaha Bungeni. Siku nyingine atarudia akijua ataomba msamaha kwa Bungeni hata kama Kamati ya Maadili itamwadhibu
 
Kamati hii haina Meno? Kanuni ipi iliruhusu Halima Mdee asamehewe wakati Kamati ambayo yeye aliidharau ilishatoa adhabu akose kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki
Nafkiri J Mhagama aliisoma kanuni hyo inayoruhusu nini kifanyike kwa mtenda kosa bungeni aliyeomba msamaha kama sikosei
 
Mkuu hujui kuwa hii kamati imemsamehe Mdee for the sake of ''TOTO PENDWA''?
Watu ilibidi wajitoe akili japo imewauma kweli kumsamehe Mdee kwani wangemtupa nje hoja Ingeibuka kuhusu ''kijana wetu mpendwa''. Sasa kujitoa akili ni kuwasamehe wote ila sio kwamba Mdee kasamehewa ni kwamba amebahatika kuingia gari moja lililombeba kijana qetu sasa dereva ataendeshaje zaid ya mwendo unaomfurahisha abiria wetu kijana?
 
Mila na desturi zetu, Halima mdee alitakiwa apate adhabu mara mbili. Mtoto akikosa Mama akataka kumwadhibu akakimbilia kwa Baba yake, hiyo ni dharau, baba naye anamwadhibu ili ajutie kosa lake.

Halima Mdee hana kosa lolote lile hata wabunge wote wanajua. Kilicho mprovoke Halima kipo wazi kama bindamu yoyote lazima awe na reaction. Siku zote CCm wamekuwa wakikomoa upinzani inapokuja kwenye suala la ubunge wa EA.
 
Kweli kabisa, binafsi nilishangaa sana Zitto Kabwe kumtetea kisa eti ameomba msamaha Bungeni. Siku nyingine atarudia akijua ataomba msamaha kwa Bungeni hata kama Kamati ya Maadili itamwadhibu

Wewe Lofa nini ??????????????
Mbona Bashite ameomba Msamaha na amesamehewa ????????????????????????????????????????
Mbweha Pori Mubwa wewe
 
Akikosa kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki,huoni kama wapiga kura wake watakosa mwakilishi?
 
Back
Top Bottom