Recent content by makazi kwetu

  1. makazi kwetu

    TRA imeshaita kwenye usaili?

    Sitaki kujibizana na ww eti umuulize swali we Nani hadi uniulize Mimi swali fuata yako kijana
  2. makazi kwetu

    TRA imeshaita kwenye usaili?

    Subir uone kwanza kwan unajua mi ni nani
  3. makazi kwetu

    TRA imeshaita kwenye usaili?

    Mtaitwa wiki hii punguza munkari
  4. makazi kwetu

    Kumbe kweli inatokea mwanamke kupenda mwanaume kwa dhati na kulia!

    njoo kwangu mkuu nikupe vitu adimu siku moja tu utamsahai
  5. makazi kwetu

    Nahitaji Return za TRA

    Upo mkoa gan mkuu namm nipo hapa ninafanya kazi hizo katika consultancy moja inchini Sent using Jamii Forums mobile app
  6. makazi kwetu

    Mali za Lugumi zilizopo Mbweni na Upanga kupigwa mnada na YONO, anadaiwa na kodi na TRA

    Msituhamishe kwenye maaada mtuambie kwa nn ukurupukaji wenu umetutia hasara kubwa kiasi hiki yaani 87billion kizembe tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. makazi kwetu

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Mkuu nani anamwajibisha aloletaa majanga haya ili ajifunze asirudie tena Sent using Jamii Forums mobile app
  8. makazi kwetu

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Kweli kabisa mkuu, waweke uwajibikaj mbele kwa maslahi ya taifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. makazi kwetu

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Baada ya kuibuliwa kwa ukurupukaji wa mh sana, naona kuna haja CCM watumie busara na uzalendo wakalipe hizo billioni 87 kutoka kwenye chama ili tuukubali uwajibikaji wao. Nawasilisha hoja wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  10. makazi kwetu

    Prof. Mruma na wenzake wameua sekta ya nishati na madini Tanzania

    Mkuuu umetoa maelezo mazuri mno na inaonekana ni mtaalam sana na ulistahili kuwa kwenye kamati kuliko hata hao maprofesa. Big up broo asiekuelewa sasa ni mburura wa kisiasa na kesho atakuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. makazi kwetu

    Kwa wanandoa tu: Hivi kwanini wake za watu mnajiamini kupita kiasi?

    Jiandae kuliwa tgo cku moja maana inaonekana naww nimchepuko mno kwa wake za watu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. makazi kwetu

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Duuu umenena!!!!!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. makazi kwetu

    Utabiri: ARSENAL atashinda dhidi ya CHELSEA leo

    Ww noumA sana! Big up Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom