Recent content by MAKAPILE

  1. MAKAPILE

    Ama kweli lowasa ana mungu kweli?je c shetani?

    Kutokana na kushidwa kwa .M.Buriani kushidwa kwenye uchaguzi 2010 hatimae aliandaa watu kwenda kumpinga mahakamani jembe lema na kufanikiwa.Hivi wadau lowasa ana Mungu kweli?Si ni devol anaesimama kwenye madhabau ya Bwana?
  2. MAKAPILE

    Slaa awe mbunge wa arusha

    tunataka jembe LEMA tena liludi cc CDM hatuogopi uchaguzi tutaingia na Mungu tutashinda na Mungu.
  3. MAKAPILE

    Je ni busara kwa sitta kukampenia ccm kwa namna anavyo ikaanga?

    Ni kweli kabisa huyu bwana nimnafiki sana japokua ni wajimboni kwangu inavyoonekana anataka kula na kupuliza kitu cha muhimu ni kuamia pipozzz kama kweli anadhamila ya dhati ya kupambana na ufisadi, asipo angalia watammwakembye.lakini wadau huyu c mnakumbuka alipewa fulusa ya kugombea kiti cha...
  4. MAKAPILE

    Radio Clouds hawajaufurahia ushindi wa CHADEMA?

    "Kauli za mama Ane Kilango akiwa Kiwira zina maanisha nini anaposema watu wametoka mbali kuja kufanya fujo. Hivi hao waliotoka tukuyu na Mbeya na viunga vingine vya wilaya ya Rungwe wametoka mbali kiasi gani kuzidi yeye aliyetoka same mashariki? Hii ni aibu ya ccm"Upo sawa kabisa ninavyomuona...
  5. MAKAPILE

    Joshua bila tbc yawezekana

    Hatimae watangajazi wa TB-CCM imebidi wawe wapale kama maji ya mtunguni huku roho zikiwauma kwa kutangaza matokeo ya pipozzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrr wakipata ushindi. Inabidi wasome alama za nyakati kwani mambo waliyowafanyia CDM yanasikitisha kwa kipindi chote cha kampeni kwa kususia...
  6. MAKAPILE

    Unafiki wa viongozi wa chama cha magamba huko Arumeru

    Kutokana na habari za hapo asubuhi inasadikika kwamba waziri aliyejiuzulu kwa kashifa za ufisadi hatimae atajitokeza hazarani kwa kumnadi mkwe wake Sioi akiambatana na Nape ambaye anajipambanua kuwa yeye ni mpambanaji wa ufisadi; Kutokana na kauli zake za mara kwa mara akisema watawafukuza...
  7. MAKAPILE

    TBC Kufunga matangazo yake wakati wowote kutoka sasa

    Safi sana haina tija kwa watanzania,wamekaa kiupendeleo sana na ngoja peopl's power tuchukue madaraka 2015 tutasafisha kabisa pale,hatuhitaji watu ambao wananizamu za woga katika taasisi yoyote ya serikari.nawasihi waalimu wezangu wakae imara katika kumwaga suma kwa watoto...
  8. MAKAPILE

    Chadema ni Wachanga CHAGUZI Ndogo

    Soma alama za nyakati, inabidi nawe uwende ukapimwe akili milembe.Inavyoonekana uko nyuma kifira,kimtazamo na hata kimawazo KAMA VILE CHAMA CHA MAGAMBA.
Back
Top Bottom