Recent content by Makandila9090

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukutana na mke wa mtu mpumbavi kama huyu

    Shetani akishindwa kukupata, humtuma mwanamke.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Azam Fc yafukuza benchi lote la ufundi

    Coaches are hired to be fired
  3. M

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Ukiwapa kuanzia milioni unapata pa kuzika. Ukienda mikono tupu unaambiwa nendeni ununio
  4. M

    JamiiForums Tanzania INASIKITISHA: Makaburi Kinondoni yanavunjwa makusudi ili ipatikane nafasi ya kuzikia

    Serikali ilishafunga makaburi ya kinondoni kwa sababu kumejaa na kuhamishia ununio kwa kondo. Kinachofanyika ni uhuni, ukienda na pesa yako ndefu wanakuuzia unapata sehemu ya kuzika
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni wa kawaida sana

    Dah
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Tiba la tatizo la low sperm count

    Tumia suppliment kwa mwezi mmoja inaitwa Multi vitamin with Zinc imetengenezwa na Centrum ukienda pharmacy kubwa zipo na bei yake ni ya kawaida. Zinc inasaidia sana masuala ya male fertility ina boost Usiache kufanya mazoezi na kula vyakula vizuri epuka vyakula vya mafuta mengi,pia punguza/...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

    Ni halali kabisa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

    Tayari imetoka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Morogoro tunaiita chembe ya moyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ninashaka na huyu msichana juu ya kunitega vitu vya kunivuta kwake nisibanduke

    Yaani hawa watu ndo wanatufanya wanaume wote tuonekane mashetani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa faida

    Nitafute
  12. M

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje wapenzi wangu wote ni wa aina moja?

    Hata aliyenae sasa sio wake
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hili group la damu linanitesa sana, naomba ushauri

    Kwani ukisema AB+ utapungukiwa na nini?
Back
Top Bottom