Hiv wangeachwa tu waaage then wakazike hUYO RPC angepungukiwa na nin? Mnazungmza mambo ya umaaruf wa kisiasa kwan kuna mtu asie ijua chadema leo hii? Mawazo ni mwanasiasa sasa msiba wake utakosaje kuwa na wanasiasa? Mtumie akili kidogo, sio kila kitu mnatanguliza ushabik tu au uandike na ww...
Hivi jf unayo orodha ya majangili humu ndani unatakiwa kuwashugulikia uwalipoti wakamatwe sisi tuliofiwa tulioumizwa tukiona mtu anaropoka tunatamani tumshughulikia
By Nambalapala
wanachokifanya chadema ni uhuni. mbona waliofariki pale olasit hawakupelekwa eneo la tukio kuagwa? mbona hawajashinikiza majeruhi watibiwe hapo hapo soweto?
WEWE NI MHUNI TU HUNA LOLOTE MJINGA WA MWISHO
sipendi na wala sitopenda kamwe kejeri za watawala wetu kuchunguza wakati kitu kio wazi .... Utaficha vyote katikachini ya jua lakini ukweli na mwanga katika giza hwaufichiki tutajua tu.... Hii ni kama mimba changa lakini itajulikana na mtoto atazaliwa tutajua baba yake ni nani????
Mungu...
KWA SIASA HIZI HAIWEZEKANI KUWA NA DEMOKRASIA UKISHINDWA HOJA KAJIPANGE SIYO KUMZURU ALIYEKUSHIDA
MAMBO YANAYOFANYIKA ARUSHA SI UTU WALA UTAWALA BORA
ANGALIA LINK HII
http://www.facebook.com/photo.php?fbid=10151515750158640&set=a.10150564089158640.386594.522648639&type=1&theater
UCHIMBAJI BADO LAKINI UTAFITI TUU UMEANZA KULETA MADHARA JIONEE MWANYEWE
https://www.facebook.com/photo.php?v=506627319385681&set=vb.100001152527713&type=2&theater
UCHIMBAJI WA URANIMU UTAKUJA KUWA JANGA LA KITAIFA WATCH THIS VIDEO
https://www.facebook.com/photo.php?v=506627319385681&set=vb.100001152527713&type=2&theater
jUST cOPY AND PASTE TO VIEW THE VIDEO LET US FIGHT TOGATHER DISTRIBUTE TO OTHER
Sijawahi Kuona Vitendo vya Kikatiri katika jamii kama Vinavyo fanyika bahi, Wametumia Madaktari Kupotosha madhara waliyopata wanakijiji wa Bahi Makulu kwa kuzulika baada ya watafiti wa madini ya Urani kuacha mashimo wazi yakiwa na kemikali iliyowazuru walimampunga 200 , wametumia madaktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.