Wana JF,
Ni kwa muda sasa nimekuwa simsikii mwanasiasa na Mchungaji wa kanisa , Christopher Mtikila. Je bado yupo ulingoni au amepigwa pin kiaina? Siasa za nchi hii bila Mtikila naona kama zinapwaya hivi, au kila zama na kitabu chake?
Nauliza kwa yeyote anayejua habari zake atujuze.