Recent content by MAKAMBARANI

  1. MAKAMBARANI

    Simbanking sasa yapatikana kwa watumiaji wa Halotel

    Safi kabisa,ila jitahidini na huduma za kipesa
  2. MAKAMBARANI

    Kwanini watoto wa viongozi wanapewa nafasi kubwa kuwa viongozi???

    USIKATE TAMAA MKUU JIUNGE KIKAMILIFU UPINZANI.SISI TUNA MKAKATI WA KUJENGA CHAMA MOROGORO KUSINI MASHARIKI ILI KUMTOA HUYU MBUNGE AITWAE MGUMBA MAANA HAFAI.PIA SERIKALI ZA MITAA 2019
  3. MAKAMBARANI

    Je naweza kupeleka fomu ya kuombea mkopo kwenye ofisi za Bodi ya Mikopo?

    Haiwezekani mkuu,pia niulize vipi ambao tunamaliza diploma mwezi huu wa saba kuhusu mikopo? Tutaweza kupata kweli?
  4. MAKAMBARANI

    Hivi Somalia kukoje kukoje,nao wana vifurushi vya chuo?

    Wanavyo lakini ukijiunga tu unalipuka ndo maana kila siku wanakufa
  5. MAKAMBARANI

    Hii nchi imevunja rekodi kuwa na wanasiasa wa ajabu sana duniani

    MIMI NATEGEMEA UPINZANI UWALEE WATU WAKE WALIO IMARA,WANAOHAMIA WAPOKELEWE LAKINI WASIPEWE NAFASI ZAID YA UANACHAMA.HII ITASAIDIA KUWA IMARA ZAID NA ZAID.
  6. MAKAMBARANI

    Prof. Ndalichako anafaa kuwa Rais 2025

    NAFASI HIYO NI BADO,LAKINI RAMLI NI MUHIMU PIA.
  7. MAKAMBARANI

    Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Magufuli atarudi na uenyekiti Dodoma

    NGOJA ACHUKUE CHAMA TU KWANI NANI AWEZAE KUMZUIA,LAKINI NAHISI MZEE WA TEMBO ATARISIWA NA WASIRA
  8. MAKAMBARANI

    Katibu Mkuu CCM; Nani ni nani, Dr. Bashiru, Ally Mufuruki, PolePole, Angela Kairuki, Wassira watajwa

    WAMPE POLEPOLE ILI APAMBANE NA DKT.MASHINJI A.K.A CHUMA
  9. MAKAMBARANI

    Kimsingi CCM imekufa, wanapumlia tu mashine za jeshi,polisi na Usalama wa Taifa

    NAKUBALIANA NAWE MKUU,LAKINI UNAJUA HAO WAPIGA DILI WAMEWEKA MIZIZI YAO KATIKA TAASISI KUBWA ZA MAAMUZI,NA SASA TUNASIKIA WANA MPANGO WA KUMZUIA ASIWE MWENYEKITI,LAKINI VILEVILE NI KUWA WANANCHI KATIKA TAIFA HILI TUNAONEKANA WEHU TU HATUNA MAMLAKA YA KUAMUA NANI AONGOZE NANI ASIONGOZE ISIPOKUWA...
  10. MAKAMBARANI

    Tahadhari: Mabilioni Yatumika Kuhamasisha Ushoga Kupitia Ngo's

    NAMSHAURI RAIS KUPITIA MAMLAKA ZAKE TAASISI HIZO NA VIONGOZI WAKE WAKAMATWE AU WAFUNGULIWE MASHTAKA NA WAFUNGWE.
  11. MAKAMBARANI

    Alichoandika RC Makonda huko Instagram kuhusu watanzania

    MAKONDA ANAWAZA NINI HUYU KIJANA,DAAAH
  12. MAKAMBARANI

    UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

    MWENDO MDUNDO,TENA NASHAURI WAFANYE MKUTANO MKUBWA DSM,MACCM YAACHWE YAZIKANE YENYEWE
  13. MAKAMBARANI

    Kimsingi CCM imekufa, wanapumlia tu mashine za jeshi,polisi na Usalama wa Taifa

    UKWELI NI KUWA CCM NI KAKIKUNDI KA WAPIGA DILI,SASA HIVI MAGU ATAWATAWANYA MAANA DILI HAZITAKUWEPO HIVYO WANAJIFIA TARATIBU KAMA MTU ALIYECHOMWA SINDANO YA MAJI YA BETRI
  14. MAKAMBARANI

    Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    MIMI CCM NAWAONA NI WASANII WA AJABU TU,HATA SIWAPENDI.
Back
Top Bottom