Vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa katiba ya wananchi vimesema havitahudhuria mkutano mkuu wa ccm utakaofanyika July 23 mjini dodoma licha ya kupata mwaliko .
Msimamo Huo imara ni muendelezo wa UKAWA kususia shughuli za viongozi na wabunge wa ccm tangu walipoanza kususia vikao vya bunge vilivyokuwa chini ya Naibu Spika ambaye ni Mwanasheria msaidizi wa serikali wa zamani na mbunge wa ccm wa mtelezo wa kuteuliwa na Rais Dk Tulia Ackson.
Chanzo - Mwananchi
MyTake - naunga mkono msimamo huu wa kishujaa , ccm walioko bungeni ni walewale watakaokuwemo kwenye mkutano huo , nyeusi haijawahi kuwa nyekundu .
CCM na polisi , UKAWA na wananchi .