[emoji2][emoji2][emoji2] nimefurahia jibu! Kiuhalisia wengi hukwama Kwa kulazimisha Kuna bati zenye gharama kubwa bila kuangalia budjet, mwisho wa siku nyumba haisishi mpaka bati kupauka!
My take! Fanya ujenzi ulio ndan ya bajet uhamie Kwa wakati
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums...
Kiukweli tupo katika kipindi Cha easy/automatic world, technology imerahisisha mambo meng sana sio tu kwenye elimu Hadi nje ya elimu. Zamani tulipita katika manual world kila kitu lazima ustruggle mfano usomee kibatali, miguu kwenye dish, notes shida, walimu wachache, umbali wa shule nk
My...
Nilienda hospitals zaidi ya mbili nikaambiwa kitapotea taratibu sikuwa satisfied na majibu yao ndio maana nimeshare kama Kuna aliewahi kuexperience tatizo hili anijuze namna ya kupona.
Jf sometimes unapata mwanga wa tatizo that's why Kuna hii forum
Mwaka 2006 hivi nilikanyaga mwiba damu zikanitoka, baada ya hapo palikauka vizuri tu ila palitengeneza kovu ambalo likazaa kishimo.
Yaani baada ya muda Kuna vijiuchafu mithili ya tunyama mfanano wa nyama za kwenye nyayo.
Hujaa na husababisha maumivu na nikitoa vile vinyama napata unafuu...
Andiko lipo upande mmoja au nawewe ni wa upande wa huyo mwaikali?
Toa fact ni vitu Gani personal amenyang'anywa? Maana siamini direct kama hao KKKT wanachukua vitu visivyo vyao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.