Recent content by makajembe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Napata tabu kusikia kuwa kuna mwanachama wa CHADEMA anajiunga CCM

    Yaani mnatia huruma kusoma hamjui hata picha hamuoni,jitu linatanua na pesa za kifisadi mmemganda tu mkoje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Si dhambi watoto wa vigogo kufanya BOT,je,CV inatosha?wanahaki ya kuomba na kufanya kazi popote kulungana na taratibu na sifa tajwa,mbona wapo wenzao waliondolewa CV hazikutosha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimetembea, tembea Jamhuri ya Tanzania katika vyama nane, sijaona Kiongozi bora kama Dkt. Magufuli

    Sio siri,ni kweli kabisaaaaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Hata hivyo ikibidi kuna wakalimani mbona sio point hiyo ya kumdiscredit
  5. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli aitia Wizara hasara ya Bilioni 2

    Hilo chaka,kuna wabunge,wabunge ndio wako katika kuusaka huo ubunge,jamani
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli anafaa,Ingekuwa ni kumwaga zege

    Sio suala la ulemavu ni kuwa na afya njema
  7. M

    JamiiForums Tanzania "Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka" Watumishi wa Umma Msilalamike

    walimu ni vituition vyenu,na michango ya test nk sie tunatoa tu,bado na seminar mnataka,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Saddam alikuwa rais wa Kuwait!!

    Mmmh,kampeni hizi ni kwa ajili ya uchaguzi wa Tanzania hayo ya Libya,Kuwait kwa sasa si kipaumbele chetu,msitubadilishie mada
  9. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Askofu kwa kweli sisi tunaona aibu,kumbe ukiwa na shida Lowasa anafika haraka?mmmh,unazungumzia mwenzako amezaa nje je wewe ni msafi kiasi cha kuwa wa kwanza kumrushia jiwe?Mungu akupe hekima i pray
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muda wowote kuanzia sasa nitamshtaki Lowassa mahakamani

    Tunahitaji utulivu na amani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

    Tueleze Sumaye umenunua pori au mashamba ya wanyonge?ili tujue kama wanaokusema wako sahihi au kulikoni?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Maisha bora kwa kila mtanzania CCM hawathubutu kabisa kuikumbusha

    Yaani,fursa zipo huzitumii,unasubiri kunung'unika,yaani hakuna atakayekunyeshea mvua ya mafanikio,changamkia fursa
  13. M

    JamiiForums Tanzania TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    StatTv ni kituo binafsi unakipangiaje utendaji?kama hukipendi acha kuangalia mbona ziko nyingi?
Back
Top Bottom