Recent content by Makabayo

  1. Makabayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwatumikisha wake zenu, waheshimuni

    We ushaolewa?
  2. Makabayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Do not give a permanent solution to a temporary problem. Kwa dunia ya sasa nakushauri usioe

    Hiyo hela ni jambo la kudumu?
  3. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa upatikanaji wa ng'ombe na mbuzi kutoka Rufiji

    Mkuu swala lako ulifanikiwa?... Niibie siri kidogo
  4. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Nimetafuta kazi mpaka nimechoka najiona sina faida hapa duniani

    Umeliandika neno "degree" mara nyingi saana,... Sasa ukitembea na hiyo degree utachelewa sana,.. Badilisha fikra ya kutafuta kazi,.. Sasa hivi tafuta pesa! Ukikubali kutafuta pesa, hiyo degree iweke pembeni kwa muda. Kitachotafutwa ni pesa na sio kazi ndg yangu
  5. Makabayo

    JamiiForums Tanzania INONGA DAY: Tupia picha za Hamasa za mashabiki wa Simba wakijiandaa na Inonga Day

    Mnavyomtukuza Chama kana kwamba ndiye anayelipa mishahara ya team
  6. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa kibiashara

    Mmh! Nenda kwa timing
  7. Makabayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

    Kama wanamkula kwenye kitanda chako mwenyewe, nyumbani mwako,.. Chupi kitu gani
  8. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Mbuzi wangu ana miezi 10 tangu azae uzao wake wa mwisho,.. Ajabu ni kwamba ana mimba kubwa na ni wiki ya 3 sasa anaonyesha dalili za kuzaa lkn hazai na dalili zinapotea na kuanza tena,.. Nini kifanyike
  9. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Hii Mbogo iko mooa gani
  10. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Walokole wana tofauti gani na Zumaridi? Wahuni waliojificha kwenye unafki tu
  11. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Ajali: Basi kampuni ya Katarama na Libanika (Tanzanite)

    Wanazi wanachangia matatizo.. Dereva hasifiwi
  12. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Ukweli hausemwi. Kilimo cha Parachichi ni kigumu sana na pesa yake ni ndogo

    Njoeni kwenye korosho, achana na maparachichi
  13. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Ukishajitambua basi inatosha,.. Ni dawa kubwa
  14. Makabayo

    JamiiForums Tanzania Bigup kwa watu wote walioacha ajira za halmashauri na kufanya mishe zao, Mungu atawapigania

    Tusitafute kuajiriwa, tutafute pesa kwa namna yoyote halali
  15. Makabayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Fact.. Sometimes tukiri tunakosea kutoipa familia kipaumbele
Back
Top Bottom