Recent content by Majjipolo

  1. Majjipolo

    Je, ni sahihi kufanya mapenzi ukweni pale mnapokuwa mmeenda kutembea?

    Kuna watu wataingia wazima wazima leo.
  2. Majjipolo

    Napitia magumu na makubwa moyo unaniuma natamani kuchukua maamuzi ila sina nguzo imara ya kusimamia naombeni ushauri

    Ukiona mbuzi anakenua meno si kwamba anafurahi bali anakaribia kukung'ata. Usisubiri kung'atwa na mbuzi apo baadae chukua hatua kwa wepesi wewe ni mwanaume jasiri.
  3. Majjipolo

    Najutia kupata Mke kupitia Facebook.

    General.. Umeng'atwa na mbuzi.
  4. Majjipolo

    Kwa mwenye Mtaji wa Mil.3 aje nimpe idea

    Mtu akiamua kufanya biashara endelevu atakua anapata 4,000*2 = 8,000 kwa siku Kwa maana ni Tsh 240,000 kwa mwezi. Sasa akitoa garama na muda wa usimamizi inabaki kiasi gani apo? Na Mathalani akaifanya kwa miezi 12, atapata faida ya Tsh 2,880,000/= Hii biashara kwa mwaka haiweza kukuza...
  5. Majjipolo

    Mlifanya nini baada ya mzazi kuwa anatumia pensheni yake vibaya?

    Nachokumbuka ni mzee kutaja tarehe ya kuustaafu kwake baada ya kutumikia miaka 40. Alipata mafao yake lini na kiasi gani mpaka leo ni siri yake (nilikuja kuambiwa mbona mzee alishalipwa baada ya miezi kama 7 kupita) Kikubwa nacho shukuru ana fixed deposit japo sijui ni kiasi gani (inaiva kila...
  6. Majjipolo

    Wafanyakazi wa Bandari mkae mguu sawa

    Mswahili kuna namna ataweka kauzibe na kaurasimu tu mchakato wa utoaji mizigo uonekane mgumu. Labda asiwepo mswahili kitengo chochote maana hawachelewi kuchomoa hata waya ili mitambo isifanye kazi kwa wakati.
  7. Majjipolo

    Waliowahi kuacha kazi naomba ushauri

    Kutokufanya maamuzi ni kosa kuliko kufanya maamuzi yenye makosa kwa sababu utajifunza. Umetambua wanakusema kwanini usimtafute mmoja wao akueleze shida ni nini. Hakuna umoja kazini kwa watu weusi, licha ya kukusema ila wao kwa wao pia kijicho wanacho. Mtafute mmoja atakupa ukweli wapi...
  8. Majjipolo

    Ndugu zangu, mi mwenzenu nina Gundu. Sijui nakosea wapi?

    Kuna mtu kakuuza tayari. Ana taarifa zako za uhakika au makisio ya kipato chako. Kachungulia kwenye kibubu kaona maokoto yapo, na uwiyano kati ya kuingiza na kutoa ni mdogo kaona akusaidie kutumia. Hato kuacha salama!!
  9. Majjipolo

    Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Allah akufanyie wepesi.
  10. Majjipolo

    Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Punguza matarajio kutoka kwa watu na kusikiliza matarajio yao juu yako. Ikiwa umri unakutupa mkono (kwa mtazamo wa familia yako au pengine unadhani hivyo) jipe matumaini wakati wako bado na biidhnillah utafika wakati wako. Unapofanya ibada, muombe Allah Akujaalia muongozo, kuridhika/kujizuia...
  11. Majjipolo

    Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Tatizo ni mtu wa kukusikiliza na kukufariji tu? Je ukikaa mwenyewe huongei kwa sauti na kujijibu? Kutokana na hali ulionayo unapata maumivu ya kichwa upande mmoja?
  12. Majjipolo

    Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Itakua wamebanduka au wamebanduliwa.
  13. Majjipolo

    Dodoma: Wanafunzi 92 waliorejea shule baada ya kujifungua, wakwama kuendelea na masomo

    Waliosema "Mchovya asali haonji mara moja" walifikiri na kuona mbali sana. Wanahutaji elimu ya ziada ili kuhakikisha wanafanya maamuzi yenye msimamo. Kama shule au familia wachague moja.
  14. Majjipolo

    Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

    Ukiangalia kwenye system inaandika ujumbe gani?
  15. Majjipolo

    Nifanye nini nipate hati ya kusafiria baada ya haya mazingira kujitokeza?

    Ukijaribu kuangalia maombi yako kwenye mfumo kupitia reference number inaonesha jibu gani? Pili, Baada ya kupiga picha waliandika tarehe gani utegemee kukamilika kwa hati yako ya kusafiria? Na ikiwa ofisa mmoja ananongwa, inawezekena ofisa mwingine akaifanyia kazi ombi lako. Tafuta ofisa...
Back
Top Bottom