themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,844
Siungi mkono huu ubinafsishwaji ila ningependa kuwapa ukweli tu wafanyakazi wa Bandari kukaa mguu sawa wajue kuwa mambo yanabadilika huenda wengi wakakakutana na kitu ambacho hawakutarajia
Waarabu huwa wanamiliki makampuni tu sababu wana pesa ila kiutendaji Wazungu na wahindi ndio huwa wamewajaza kwenye makampuni yao na kama mnavyojua wazungu falsafa yao ni utendaji wa kazi ulionyooka na wanaamini kwenye kufunga mitambo kiutendaji kuliko kutumua binaadam maana yake kuna ajira nyingi hapo zitapungua
Hawa ndugu zetu wahindi ni wataalam wa kubana natumizi na unoko Waliowahi kufanya kazi sekta binafsi nadhani mnawajua, sasa hawa watu ndio wanaenda kuwa mabosi wa wafanyakazi wa Bandari, maana yake kama mlizoea kufanya kazi kimazoea mtakutana nakitu ambacho hamjakizoea
Na wale waliokuwa na mikataba ya mwaka 1,1 ambao hawakupata mikataba ya kudumu nyie pia mjiangalie , Ule upigaji na yale mambo ya kwenda kula lanchi masaa 2 tegemeeni mabadiliko mahindi ni balaa kwenye kazi kama hamuamini waulizeni wafanyakazi wa viwandani walipojaa wahindi muhindi ni nulsi na hapo DP msishangae wamejazwa humo ndani