Recent content by Majige

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Rais atakuwa na wigo finyu Sana kupata mawaziri anajaziwa wazee na under performers. Bado rushwa bado IPO Hivyo cc wanafanye KAZI Yao Kwa maslahi ya nchi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuongelee AirBnB + Tourism hapa Tanzania. Watu wanatengeneza pesa nyingi. Experience ya miezi 2 nikisafiri Tanzania

    Fikiria pia tour ya Uganda na Kisumu Kwa usafiri meli ya Mv Victoria hopefully to begin this Match!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyamagana ya Mabula mnakwama wapi? Mbunge apunguze kufanyia kazi kwenye mitandao ya kijamii

    Luchelele na shadi maji hayatoki miezi kadhaa bomba zimebaki kuwa mapambo! Barbara ya bulale majanga, mwasonge ujenzi WA daraja umesimama! Mabadiliko nyamagana!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Commercial Bank ni wababaishaji?

    Ingeweza kuwa benki kubwa yenye ufanisi sbb ya base kubwa ya waalimu wengi hapa nchini. lakini imeanza vibaya kwa ubabaishaji mkubwa na inashangaza BOT na CMSA wapo kimya wakati watu wamewekeza katika hii benki na wanasubiri returns!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Tizeba hatoshi kuwa Waziri wa Kilimo na Ufugaji kwa sababu...

    Good points mmeeleza wanajamvi, utaalamu katika kilimo na ufugaji na masoko. Pia role ya vyuo vya kilimo, uvuvi na mifungo ionekane kwa kutoa ushauri, mbegu bora, miche bora etc. ranchi za taifa je hatuoni mkakati wowote! Hizi zingefufuliwa na ufugaji ukafanyika at a large scale ukawa linked na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya kwanza ya ATCL kupokelewa Rasmi Septemba 20, JNIA

    Hongera ATCL. Toeni basi mapema route za ndege hii mpya na kuanza promotion. Naona upande wa marketing upo kimya enzi hizi za ushindani! Anzeni kuonyesha mnaleta kitu gani tofauti kwenye soko kulinganisha na washindani wenu vitu kama bei, huduma bora, route conveneit kwa wasafiri waunganishao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hisa za DSE

    Soko la hisa wanauza wanauza hisa kama kampuni. Wadau je kuna matumaini zitalipa hasa kipindi hiki ambapo bei za hisa kwa kampuni nyingi zinaporomoka?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Benki ya walimu (MCB) inasajiliwa lini DSE?

    Mbona kimya wahusika kuhusu usajili dse na kuanza kazi kwa MCB? BOT na CMSA mnawaambiaje wawekezaji kama mliopewa dhamana kuwalinda?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hukumu ya ICSID kutotekelezwa na Tanesco kuamua kufuatilia another avenue wakati hukumu imeshawapa nafuu. Umiliki wa PAP na uhalali wa document walizotumia - CAG alisema ni forged documents. hakujishughulisha nalo. Kutamka openly kuwa zile fedha ni za IPTL - Kukubali kuwa PAP wanatakiwa walipe...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fastjet vipi tena

    Na Dar- mwanza mpaka sasa abiria walioripoti saa sita bado hawajaondoka? Kulikoni fastjet ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais JK kuhudhuria mkutano wa G8 siku ya Jumapili

    Hapa nimenukuu gazeti la guardian. Pia refer gazeti hilo tar.11/june 2013. there is a critical analysis of the g8 meeting whereby the big 8 pretend to help africa on conditions that their MNCs be allowed to invest in agriculture so solve the food problem. Actually they are looking for markets...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais JK kuhudhuria mkutano wa G8 siku ya Jumapili

    Cameron, like Tony Blair, has thrown the NGOs a bone: he will fight for an international mechanism to monitor where multinationals make their money, and where they pay their taxes. The NGOs are duly impressed, and cheer Cameron on. It should go without saying that they will be presented with...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    Anzia Nyakato hadi mjini kwenye highway ya mza-musoma na Buhongwa hadi city centre kwenye highway ya mza-shy. Bei inategemea, maeneo ya nyegezi kukodi site hadi 10m kwa mwaka, pengine ni cheaper hadi laki tano.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri na Mbinu Mbalimbali Kuhusu Uendeshaji wa Biashara ya Kuosha Magari (Car Wash)

    MZA inaweza kulipa sana maana ongezeko la magari ni kubwa na pia MZA kuwa njia ya magari yaendayo Bukoba, Musoma, Uganda, Kenya, Burundi na Rwanda. Nachoweza kukusaidia ni site nzuri hapa MZA kwa kujenga carwash.
Back
Top Bottom