Mwalimu Commercial Bank ni wababaishaji?

KAPURO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
235
250
Ni jambo la kushangaza sana tangu mwezi wa kumi walihaidi wangeanza kutoka mikopo kwa ribs nafuu hadi Leo hakuna kinachoendelea.

Kila siku wako kwenye mchakato wakati semina kwa mbwembwe kabisa zilifanyika mwezi wa Tisa na kuwaamblinisha walimu kuwa wangeanza kutoka mikopo mwezi wa kumi hadi Leo mwezi wa kwanza ola.

Tumepeleka form za kufungua account tangu mwezi wa Tisa hadi Leo mwezi wa kwanza account hazijafunguliwa. Katka ulimwengu huu wa Leo account inafunguliwa ndani ya dakika kadhaa wao hadi Leo ola hata kama wangekuwa na watu kiasi gani kwa mwezi yote hii ni aibu sana.

Ndio maana nauliza hivi Mwalimu commercial bank ni wababaishaji? Nafikiri wahusika watafika kujibu.
 

Majige

Member
Nov 11, 2006
33
125
Ingeweza kuwa benki kubwa yenye ufanisi sbb ya base kubwa ya waalimu wengi hapa nchini. lakini imeanza vibaya kwa ubabaishaji mkubwa na inashangaza BOT na CMSA wapo kimya wakati watu wamewekeza katika hii benki na wanasubiri returns!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom