Tuongelee AirBnB + Tourism hapa Tanzania. Watu wanatengeneza pesa nyingi. Experience ya miezi 2 nikisafiri Tanzania

Who want to visit Rwanda later this year? na baadae South Africa

Ninataka ni organize tour kwa watu wa JF tuende pamoja.

Labda mwezi wa 6?

Hii itakuwa serious na ikibidi nitapata verified name hapa JF ili kila mtu awe na imani.

Lengo ni kufurahi, kujifunza na Kutengeneza opportunity za biashara na Kutengeneza pesa kwa kila mmoja wetu.

Kama watu watapenda itakuwa poa sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chapa fisi haahaahaaa
huyu mleta uzi hajakusudia kudanganya kuhusu gamboshi na amesema vizuri tu kama amekosea, tusimwelewe vibaya tumsaidie. GAMBOSHIhaipo Geita,ipo Bariadi,Simiyu. ungeuliza pale bujora pengine ungetafutiwa guide top manyota wa walozi angekupeleka kwa zile dirimu laina zetu wasukuma au hata honda chapa ya mbiti ingekufikisha fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I’m clean

Don’t listen to haters. Hayo mambo anayoweka hapa yameshajadiliwa sana. Na huyo mtu anaitwa Frank si mimi.

Pitia nyuzi zangu.

Im legit
Naona kama vile umetoa jibu jepesi hasa kwa ambao hawajasoma au hawana muda wa kupitia hizo nyuzi zako zingine. Ungefafanua kidogo.

AirBnB pale Mwanza mlilipa kiasi gani per night mkuu?
 
Kutokana na trends tu za Jamaa mimi nimeshamjua ni mtu wa aina gani nawaasa vijana wenzangu muwe makini sana
 
MURUSI Hebu fafanueni vizuri huo utapeli wa jamaa na amewahi kumtapeli nani usikute ni chuki binafsi mnaleta.

Wengine tupo serious tunataka tufanye biashara na jamaa.
Ukiona mtu zaidi ya mmoja anamnyoshea kidole, jua kuna walakini. Na katika story zake inaonesha kama wageni wanampa offer, unaona hapo kuna la maana kweli?
 
Back
Top Bottom