Recent content by majigambo

  1. majigambo

    Kwa single ladies tu

    asanteni sana jamani nimefanikiwa kumpata...humuhumu jf na tumeshaanza kuwasiliana kwa simu....asanteni mno...ni urafiki kwanza, tukielewana vzr basi nachukua jumla.
  2. majigambo

    Kwa single ladies tu

    hahahah 2.1m p month...
  3. majigambo

    Kwa single ladies tu

    Habari za leo wakuu, Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke.Akina dada aliye tayari ani pm. Umri wangu 34yrs.
  4. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    ok hadi sasa naona wote naona mna hekima sana isipokuwa mmoja tu ndio sijamuelewa sijui alikurupuka au vipi..anaitwa kongosho
  5. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    maana ya thread yangu ni kutaka kuwafahamu wengine zaidi kwa kuwa hao hawatoshi na kwamba bado sijabahatika kusoma koments za wanajf wengine...hapa ndio ninazidi kujua hekima za wana jf.
  6. majigambo

    Jinsi ya kumpiga mke

    ..mke wangu mimi ndio atapata raha sana.
  7. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    sawa mkuu maana hapa bwana kuna watu wamepinda sana ndio maana nataka nijue washauri wazuri ni akina nani ili niwamention wakati naweka shida yangu hapa...asante.
  8. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    ...nipe tu mkuu!
  9. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    dada, niko serious ujue!
  10. majigambo

    Hodi hodiiiii!

    duh bora nimepata mgeni mwenzangu...ila jinsia yako haiku wazi..mimi ni kaka km ninavyoonekana ktk picha hapo.
  11. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    jina langu lisikutishe mkuu...kuna binti mmoja hapa ninapofanya kazi ndio ana majigambo sana japo ni mrembo sana, ndio maana nikaamua kutumia jina hilo...si zaidi ya hapo usiogope.
  12. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    sawa, nilitaka kujua ili nijue nim-mention nani wakati ninaweka shida yangu hapa ili naye aweze kunisaidia...hiyo ndio maana yangu mkuu..
  13. majigambo

    Ni nani mshauri mzuri humu jf?

    sawa nashukuru sana mkuu. ila hii avatar yako!
Back
Top Bottom