ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
habari za leo wakuu.
Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke...
akina dada aliye tayari ani pm
umri wangu 34yrs.
yaani na umri wote huo unatafuta demu jf kweli wewe ni tatizo..
habari za leo wakuu.
Nimekuja leo hapa nikiwa na suala la kutafuta mke...
akina dada aliye tayari ani pm
umri wangu 34yrs.
Vigezo vyangu hatoviweza mkuu...
Kwana we na TemboCard, pili kabati la mbeho, tatu awe na mkoko wa haja kama wa huyu jirani yangu hapa nee nikisema atachanganyikiwa!! ngoja niishie hapa!!!!!!!
njooo jf party jumamosi
hiii tinga suti ya ukweli uwe na wallet iliyonona tena uwe unaongea
points tu lazima utampata akufaaaaye lakini usitudanganye una salary ya
2.million na wakati hata jf party umeshindwa kulipia
Duuuh!suti ya kuazima anaruhusiwa kuja nayo?
hahahaah!! Kumbe umekuwa kuwadi siku hizi.hahahaah, sio mimi jamani. lol