Recent content by maji kenge

  1. maji kenge

    Watoto wa wasanii na ushoga! Kipenga kimepulizwa rasmi

    Mungu atusaidie sana!!! Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  2. maji kenge

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Hakuna ubaya ila weka wazi!.... Mimi nataka watu wa dini yangu tu. Yaani usi act kama upo na jamii yote kumbe siyo. Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
  3. maji kenge

    Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

    Hii inaweza kuwa kweli au pia inaweza kuwa mbinu za kivita..... Kumfanya mpinzani ajiachie ili amtandike vzuri.
  4. maji kenge

    Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

    Tena muda mwingine hicho kiboti kidogo cha uokoaji kilichopaki pembeni hata mafuta hakina yaani ikitokea ajali hakiwaki...... Sisi ni bado saana mkubwa.!
  5. maji kenge

    Majaliwa ana akili kuliko Wafanyakazi wote wa Uwanja wa Ndege Bukoba

    Katika habari ya uokoaji sisi ni bado kabisa.... Pongezi nyingi kwa kijana majaliwa kwa kazi kubwa aliyo ifanya.
  6. maji kenge

    Mugabe asweka ndani mashoga hadi washike ujauzito

    Safi sana... Mpaka washike adabu!
  7. maji kenge

    Nachukia msichana unaanza kumtongoza kwa maneno laini ukijua mstaarabu kumbe..

    Pole ila ongeza swaga za maneno maana huwa wanavutika na mneno zaidi kuliko chochote.!!
  8. maji kenge

    Nimekosa mwanaume 'serious'

    Bado hujakutana na atakaekupenda na wewe ukampenda...... Vumilia utampata tu.!
Back
Top Bottom