Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

Majeshi ya Urusi yameukimbia mji wa KHERSON

Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeviamlu vikosi vyake kuukimbia mji wa KHERSON kabla mji huo haujazingirwa na majeshi ya Ukraine.

Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi amesema Kuwa imekuwa vigumu zaidi kupeleka mahitaji Muhimu kwa wanajeshi walioko katika mji huo baada ya njia mhimu hasa madaraja kuharibiwa na Makombora ya HIMARS kutoka Ukraine.

Russian forces to retreat from the west bank of the Dnieper river in the face of Ukrainian attacks. Russia orders troops to pull back from Kherson city
Hii inaweza kuwa kweli au pia inaweza kuwa mbinu za kivita..... Kumfanya mpinzani ajiachie ili amtandike vzuri.
 
Vita ni Sayansi ...

Ukrainian forces have bombarded bridges across the Dnipro with missiles, to try and cut Russia's supply lines to the city from the east and south.
Its forces have also been advancing gradually on the city from the north west and the north east.
"Ukraine's next major target is the town of Beryslav, upstream on the Dnipro river," says Ms Miron. "Once they take that town, then they can mount an attack on Kherson itself. It could be only a matter of weeks away."

1668146462367.png
 
Hii inaweza kuwa kweli au pia inaweza kuwa mbinu za kivita..... Kumfanya mpinzani ajiachie ili amtandike vzuri.
ati Ukraine afanye nini? ategwe? who will trust Putin kwamba haitaki Kherson ? watu wanajipanga na wanazidi kusonga mbele kulingana na plan na kwa tahadhali kubwa, jana wameporomosha daraja muhimu mno kwa logistics ya majeshi ya Urusi.

Putin hali ni mbaya !! Supply ya vifaa, madawa, vyakula kwa majeshi yake vyote havifanyi kazi - utapiganaje vita kwa namna hii. kifupi Logistics imekufa kabisa.
 
USA- Tutaendelea kuisaidia Ukraine pamoja na kwamba tumeshatoa zaidi ya Tshs 45 Trillions kwa Ukraine hadi sasa..

“This drawdown will bring the total US military assistance for Ukraine to an unprecedented level of approximately $19.3 billion since the beginning of the Administration,” Blinken said in a statement.

“The air defence, long-range, and precision fire capabilities that we are providing are carefully calibrated to best serve Ukraine on the battlefield as it makes gains from Kherson to Kharkiv,” Blinken said.

“We will continue to support Ukraine so it can defend itself and be in the strongest possible position at the negotiating table when the time comes.”
 
US ana akili sn,,"when it comes to negotiation table"

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom