Recent content by Majesty S P

  1. Majesty S P

    Natafuta dada wa kazi

    Out of topic. Natafuta dada wa kazi. Umri miaka 13-25 Awe mcha Mungu. Nyumba ipo Arusha,Mianzini. Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5. Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano) Kula kulala juu ya familia. Kwa mawasiliano zaidi +255 652 773325.
  2. Majesty S P

    Nisaidieni jinsi ya kutibu PID

    Pid inatibika kwa supplements watu wanapona
  3. Majesty S P

    Nguvu za Kiume - nani anafahamu TIBA ya kweli?

    Tumieni supplements zinazoboost Testosterone za mwili na hazina madhara...After a week utapona kabisa.
  4. Majesty S P

    Mawazo na Msaada juu ya hali ya mpenzi wangu

    Solution ni moja tu Hormones zake zipo chini hivyo zinahitaji stimulant ili arudi normal...Hapo tafuta SUPPLEMENTS za BF SUMA dozi nzima anatumia two weeks then utanipa matokeo...Japo ni Ghali sana.
  5. Majesty S P

    Mavazi yanataka kunikosesha mke, nishaurini

    Bila shaka wewe ni dereva wa wizara fulani.
  6. Majesty S P

    Swali la haraka: Falsafa yako ni nini?

    Better late than Never
  7. Majesty S P

    Life Experience: Jambo gani liliwahi kukutia aibu katika maisha?

    Hii AIBU kuliko. Pisi kali nyeupe Chotara ya Kizambia nimeifukuzia miezi 4 Siku ikanipa penzi mpaka kunakucha....MJESHI KANISALITI lazimisha Wapi?? Niliona aibu Mimi full kukwepana.
  8. Majesty S P

    Leo ni Miaka 56 tangu MalcolmX afariki dunia

    Jamaa ana historia ndefu sana HAIWEZI ishi kama vipi tafuta documentary yake itakuwa vizuri MALCOLM X
  9. Majesty S P

    Leo ni Miaka 56 tangu MalcolmX afariki dunia

    Leo ni miaka 56 tangu Mwanaharakati Mr.El Hajj Shabazz maarufu kama Malcolm Little daima tutakukumbuka kwa Mengi aliyoyafanya japo tumeyakuta kwenye historia. Endelea kupumzika kwa Amani MALCOLM X dunia bado inaukumbuka mchango wako.
  10. Majesty S P

    Ajira nihurumie nifurahi na mimi pia

    Pole sana mkuu Mungu atakusaidia sana
  11. Majesty S P

    Happy birthday Ice T (63) and BirdMan (52)

    Tarehe 15.02. Ilikuwa ni happy birthday ya Birdman katimiza miaka 52. Tarehe 16.02 Ilikuwa happy birthday ya ICE T katimiza miaka 63. Emu wape neno hawa ma HipHopMogul uniambia ngoma gani unazikubali kutoka kwao.
  12. Majesty S P

    Mliotuma CV/Resume Jvacee Stiegler's Gorge mmeshaitwa?

    Nasikia kuna watu wameanza kutumiwa message wajiandae kwenda
Back
Top Bottom