Nisaidieni jinsi ya kutibu PID

Nisaidieni jinsi ya kutibu PID

Mister 4G

Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
17
Reaction score
19
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba.

Hospital amepima ana chronic PID.

Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi nifanyeje wakuu kulisolve hili.
 
Mpeleke hosp....atachomwa cefriaxone inj 1gm metronidazole 400mg na doxycline 100 mg kwa siku 14. Nenda akaandikiwe na daktar kulingana na hali yake ilivyo
 
Mpeleke hosp....atachomwa cefriaxone inj 1gm metronidazole 400mg na doxycline 100 mg kwa siku 14. Nenda akaandikiwe na daktar kulingana na hali yake ilivyo

Asante sana mkuu maana hili limekuwa changamoto aise
 
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba
Hospital amepima ana chronic pid
Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi nifanyeje wakuu kulisolve hili
Ushauri tu....

Ni kwamba,

Afanye HVS + Culture and Sensitivity kisha waje na majibu yaliyo sahihi

Plus after 1month afanye abdominal USS
 
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba
Hospital amepima ana chronic pid
Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi nifanyeje wakuu kulisolve hili
Hapo dawa tu mzee, mm sio mtaalam sana ila last time nilimpeleka mtu akachoma injections kadhaa baada ya hapo akawa fresh, nayo ilisumbua sana kabla ya kupona
 
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba.

Hospital amepima ana chronic PID.

Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi nifanyeje wakuu kulisolve hili.

Poleni kwa changamoto ya uzazi. Kipimo aina gani amefanya kuonyesha ‘chronic PID’?

Ushauri:- Mke afanyiwe kipimo cha ‘Transvaginal ultrasound’, tutumie kwa email info@navan.care au WhatsApp 0755313996 tutawasaidia. Karibu
 
PID ni hatari na ngumu kupona si kama wengi wanavyofikiri.Mara nyingi utatumia dawa za hosp,lakini baada ya muda utaona dalili zikianza moja.Wanawake wengi sana inawatafuna huku vipimo vya maabara ya kawaida zikiwaaminisha kuwa wana UTI.

Kuna dawa za mitishamba unazoweza kuzitumia kwa muda wa mwezi mzima mfululizo,dawa hizi husafisha kabisa bakteria wanaosababisha maambukizi katika via vya uzazi na haiwezi kujirudia tena,hata kama mtu hashiki mimba kwa sababu ya PID hushika mimba baada ya kutumia dawa hizo.

Siku ukichoka sana kutumia za hosp utasema nikusaidie.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Vip huu ugonjwa kwa wanaume? Mwanamme hapaswi kutibiwa? Hakuna vimelea anavyoweza kubeba au kusababisha mwanamke asipone?
 
Vip huu ugonjwa kwa wanaume? Mwanamme hapaswi kutibiwa? Hakuna vimelea anavyoweza kubeba au kusababisha mwanamke asipone?
huu sio ugonjwa wa zinaa hivyo hapana unless kama anaugonjwa wazinaa
 
Hivi PID inaweza fanya mwanamke hasibebe ujauzito wa hasipate hedhi?
 
Mke wangu tumezaa mtoto mmoja miaka 3 na nusu sasa imepita hajashika mimba.

Hospital amepima ana chronic PID.

Ni wapi atapata msaada zaidi maana madawa ya hospital kama hayatoi majibu hivi nifanyeje wakuu kulisolve hili.
ulipata ufumbuzi? kama bado na anatumia bima PM nikuunganishe na mtaalamu.
 
Back
Top Bottom