Mliotuma CV/Resume Jvacee Stiegler's Gorge mmeshaitwa?

Mliotuma CV/Resume Jvacee Stiegler's Gorge mmeshaitwa?

Majesty S P

Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
62
Reaction score
88
Imepita wiki sasa baada ya Mradi wa Mwalimu Nyerere kufunga pazia la kupokea maombi kwa ajili ya maombi ya zile ajira 1500+ Pale kiloka kwenye kampuni za Arab Contactors na Elsewedy

Je, kuna mtu alishaitwa kwenye kada yeyote au connection ni muhimu pia?
 
Nasikia kuna watu wameanza kutumiwa message wajiandae kwenda
 
Wanaita kulingana na uhitaji wa wakati huo, vibali vikitoka basi unavutiwa waya.
 
Sijui kama wameita ndio tunasubiria neema za bwana kama tutaitwa
 
Duh! Hizi kazi zimekaa kisiasa Sana sizani pale Kama Kuna kazi
 
Back
Top Bottom