Recent content by majeshii

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais ajae awe Lowassa au Shein, hapo CCM kura yangu mtaipata

    Unafaa we we na baba yako
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

    Nilimpa funguo akaenda kwangu kuchukua akanirejeshea funguo baada ya hapo ndo ikawa kwa heli
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

    Anaitwa T Bibo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maji ya bomba yanatoka wapi Dar es salaam

    Yapo mengi tu njoo uchukue hapa kimala balut
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

    Wala msijali nikokukamilisha dawa yake
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

    Utaona Leo angalia taarifa ya SAA 2 ucku ITV utaona nilicho fanya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

    Wakuu kuna rafiki yangu mmoja jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5, na hiyo ilikuwa kwa ajili ya chuo, akadai leo saa mbili asubuhi atarejesha, hadi sasa hajaleta afu hata simu haipatikani na inatakiwa nikabidhi kazi ya chuo leo, Naona anataka kulogwa!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere kutangazwa kuwa mtakatifu

    Hakuna cha utakatifu biblia inasema baada ya kufa ni hukumu tu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini sadaka la makanisa ya kiroho hazitangazwi kwa waamini wao?

    Umesema makanisa ya kiroho hawatangazi endeleeni nyie kutangaza maana makanisa yenu ni yakimwili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Mahakama ya Kadhi yafichuka

    Mahakama ya kadhi ni mpango wa shetani uliotoka kuzimu kama unabisha kamuulize shekhe ponda atakwambia tatizo waislam mnataka mbebwe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimewafukuza Polisi waliopanga kwenye nyumba yangu

    Jamaa Leo alitaka kuleta posa kwa dada nikawaambia wazee hebu tusubiri maana huyu polisi anaweza kutupiga mabom
  12. M

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo ngorongoro arusha nije mbeya mjini 0758844240
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Hawa logeki hao
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Ubwabwa wa kyela na nyama ya simba tam sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

    Leo mnyama kaliwa na wali
Back
Top Bottom