Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

Rafiki yangu amenitapeli, nimfanyeje?

Nilimpa funguo akaenda kwangu kuchukua akanirejeshea funguo baada ya hapo ndo ikawa kwa heli
 
Wakuu kuna rafiki yangu mmoja jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5, na hiyo ilikuwa kwa ajili ya chuo, akadai leo saa mbili asubuhi atarejesha, hadi sasa hajaleta afu hata simu haipatikani na inatakiwa nikabidhi kazi ya chuo leo, Naona anataka kulogwa!

Huyo rafiki yako unaishi naye karibu? Kama ndio je umeenda kumuona kwake ilj ujue ni kwanini hakukuletea PC yako? Unawafahamu ndugu zake au mtu yeyote mwingine mwenye ukaribu naye zaidi yako? Je unajuaje kwamba huyo rafiki yako amekutapeli au amepata tatizo la ghafla lililopelekea yeye kutokuwa hewani hivyo kushindwa kukupa taarifa na kupokea sim&sms zako?
Ni mapema mno kumtuhumu rafiki yako, labda useme tu kuwa kuna kazi ya chuo ulitakiwa kuikamilisha kwa hiyo PC yako. Mambo mengine chukulia kama wengine wanaokopesha pesa au nyanya gengeni na kuahidiwa kulipwa kesho kumbe ni mwezi ujao au pengine wasilipwe kabisa.
 
Maji yakishamwagika yatengenezee njia yajikusanye sehemu moja kisha uyachote. Usijalaumu yashatokea atleast mpe km week hivi tafuta auluhu nyengine
 
Wakuu kuna rafiki yangu mmoja jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5, na hiyo ilikuwa kwa ajili ya chuo, akadai leo saa mbili asubuhi atarejesha, hadi sasa hajaleta afu hata simu haipatikani na inatakiwa nikabidhi kazi ya chuo leo, Naona anataka kulogwa!

Mkate Kitom Beo Hicho Ndo Kimemhamasisha Akutapeli Ili Akahonge. Si Umeona Tevez Alivyofanywa?
 
Wakuu kuna rafiki yangu mmoja jana ameondoka na PC yangu pamoja na hela laki 5, na hiyo ilikuwa kwa ajili ya chuo, akadai leo saa mbili asubuhi atarejesha, hadi sasa hajaleta afu hata simu haipatikani na inatakiwa nikabidhi kazi ya chuo leo, Naona anataka kulogwa!

Sasa kama alikuambia jana yake kwamba ataileta kesho asubuhi kwa nini haukumwambia asubiri kesho maana kama kesho ataipata kwa nini akuazime leo
 
Back
Top Bottom