Mi nahis hapa magu angefanya tafiti kwanza kwann air tanzania iliferi.?na pili mashirika mengne ya nchi jirani yanaendeshaje ndege zao na kwa faid au hasara and finally angenunua ndege na kulifufua shilika upya la air tanzania...sio mbaya kununua ndege mbili mpya lakn tujuulize kwanza kwanin air...
Wizara ngumu sana hii ya mambo ya ndani nahisi ndo inaongoza kwa mawaziri kufukuzwa kwa kashfa au kujiuzuruu. Mwigulu hapa anakazi ya ziada kua makini hii wizara very sensetive..
African needs mental revolution rights now mana tunapoteza muda mwing kujadili watu badala ya changamoto zinazolikabili taifa km kukosekana kwa ajira.kupnda bei ya bidhaa na upungufu wa money circulation nchini..
Gud job km wamekamatwaa mana inauma sana na tukio hilo nilakukemewa vikali pia nlkua nategemea mwenyekiti wa wanawake hon kigwa kulitolea tamko hii lkn yupo kimya pk asubili matukio ya wasanii ndo atoe tamko..asante jackton manyerere kwa habari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.