Kikwete, Tony Blair rasmi kusuluhisha Mozambique

darcity

JF-Expert Member
Jul 20, 2009
5,943
2,000
Rais mstaafu wa awamu ya nne amekubali kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Msumbiji.Pia waziri mkuu wa zamani wa Uingereza na taasisi yake wamekubali mwaliko wa kuwa wasuluhishi na sasa kinachosubiriwa ni tamko la waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika Bwana Chester Crocker.
8E9U5111.JPG


Tony Blair and Jakaya Kikwete accept to mediate Mozambican conflict – VOA

Mozambican authorities have recently confirmed the sending of invitations to former US Assistant Secretary of State for African Affairs, Chester Crocker, former British prime minister Tony Blair’s Faith Foundation and former Tanzanian president, Jakaya Kikwete, to mediate peace talks in Mozambique.

A government source has since told VOA that both the Tanzanian statesman and the Faith Foundation have responded positively to the invitation, and that they are still waiting for a response from Mr Crocker.

“Theses are personalities who, while not still in power, have good reputations in their own countries,” the source said, explaining that the government’s choice balanced Renamo’s invitation to the European Union, the Catholic church and South Africa to propose mediators.

The same source pointed out that the Americans have interests in Mozambique, exemplified by, for example, Anadarko’s participation in the Rovuma basin, and the British likewise. The government believes that American and British mediators “will be impartial in this process”.

Some have however found the invitation to Chester Crocker puzzling, since his involvement in the Mozambique peace process at a time in the past when conflict with Renamo was more intense was not welcomed

Tony Blair and Jakaya Kikwete accept to mediate Mozambican conflict – VOA
 

HORSE POWER

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
1,790
2,000
Hii Afrika ni kama imerogwa.Ni migogoro kila mahali;Msumbiji,Sudan Kusini,Burundi,DRC,Ethiopia n.k. Chanzo kikuu ni mnyukano wa madaraka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom