Recent content by majebelenzoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Reforms tulizozitaka tukiwa CHADEMA zimefanyika CCM

    Tulia ule si umeshawin?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polepole kufungwa au kunyongwa ikiwa tu...

    Kwani Polepole ni polisi? Aende akaripoti police sio kubwabwaja
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Edwin Kachoma Ajiondoa Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini Kupitia ACT-Wazalendo

    Hilo jina tuu, kachoma linaakisi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Huko haendi ataenda mgombea mwenza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais Samia aanguka ghafla wakati wa kampeni Mbalizi, Mbeya

    Kwa hiyo unaamini hawana shift
  6. M

    JamiiForums Tanzania I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kama mnyongaji ni wewe sawa, watu mna roho mbaya kuliko hata shetani
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Putin aliamua kuwa kapera/bachela?

    Kupata watoto sio lazima uwe na mke. Ni kuwa na mwanamke tuu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Wewe kuku unajua nini, mbona husemi kuna timu zimeweka hadi mipasho? Acha ujinga wewe hujui kitu
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii Ndio Maana Halisi ya Usishindane na aliyebarikiwa na kupewa Kibali na Mungu

    Yaani wewe akili zako zinejizima kiasi kwamba huoni watu wakisombwa hadi na matreni kutoka mikoa mbali mbali?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    Sio kweli, nguzo ya ccm ni mapolisi, usalama wa taifa, tume ya uchaguzi na lile liwaya linaloenda hadi nida
  11. M

    JamiiForums Tanzania Anayeijua nguvu ya CCM, Hawezi kupoteza muda kujibizana mitandaoni

    So kweli, kwani wanawake wote TZ ni uwt? Sema ukerli nguzo ya ushindi wa ccm ni mapolisi, usalama taifa, tume ya uchaguzi na like li waya nida-ccm- tume
Back
Top Bottom