Recent content by majangatz

  1. majangatz

    Feitoto yupo sawa kisheria

    Yanga wameweka kipengele ukijisikia kuvunja utoe pesa ya usajili na mishahara mi 3. Sasa hicho kipengele cha FIFA kitafanya nini hapo wakati Yanga wametoa nafasi hiyo? Kama wakosaji wawe Yanga kuweka Clause inayokinzana na FIFA kwenye kuvunja mkataba.
  2. majangatz

    Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Nimejaribu hilo japo sijafanikiwa ndio mana nimeliweka hapa wenda akatokea mtu akanisaidia
  3. majangatz

    Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Nitajitahidi kulipa pesa ya kuridhisha maana deni lake kubwa sana halina thamani ya kulinganisha.
  4. majangatz

    Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Yes japo naishi mbali sana na eneo hilo. Nikipata mwalimu wa kuhudumu ingependeza zaidi. Hata kwa wk mara 3 au 2 inatosha.
  5. majangatz

    Natafuta Mwalimu wa Dini ya Kiislam (Madrasa), awe Mwanamke

    Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road. Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran japo ana Idea na mambo ya Kiislam. Tafadhali kwa anayemjua mwalimu au mtu ambaye anaweza kufanya kazi...
  6. majangatz

    Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. majangatz

    Ukiwa Tanga usiwe na haraka

    Twendeni Tanga #twenzetuchumvini Sent from my SM-N960N using JamiiForums mobile app
  8. majangatz

    Nini kinasababisha Friji ya nyumbani kutumia Unit nyingi za umeme?

    Hii ni mpya kabisa yaani mtumiaji wakwanza nilikua mimi. Ya mtumba niliuza baada ya kuona majanga hayo sasa hiyo mpya majanga yaleyale Sent using Jamii Forums mobile app
  9. majangatz

    Nini kinasababisha Friji ya nyumbani kutumia Unit nyingi za umeme?

    Umeshawahi kutumia? Maana kuna mdau kasema non frost ndio balaa kwa kubwia unit Sent using Jamii Forums mobile app
  10. majangatz

    Nini kinasababisha Friji ya nyumbani kutumia Unit nyingi za umeme?

    Natumia umeme wa 60k hadi 70k wakati sina familia ya kutumia umeme wote huo. J8ni kweli kweli Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom