Kama hupati local channels nitafute

Kama hupati local channels nitafute

We mpumbavu kabisa,sasa mimi nimpe channels bila kuona hela et! Kwa kazi zangu nazo zifanya nimeliwa sana humu JF,pitia thread zangu uone mishe zangu,then siungi ungi kwenye TECH nipo vizuri...

Nitafute nikuwekee kwanza ndio unilipe pusi ww!
Mpumbavu ni wewe unaetaka mtu asiekujua wala humjui akutumie shekeli, jinga sana wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joselela nina maswali kidogo nikuulize.

  1. Kwa maelezo yako inaonesha kumbe unaweza kuzifuta hizo Chaneli kama ukitaka. Jee huyu anayekupa hela zake atakuwa na hakika gani kama hakuna siku utazifuta na kumfanya awe mateka wa huduma yako?
  2. Hilo Jambo ni halali ama ni haramu. Maana kama ni haramu hao wenye hayo mawimbi wakijua unatumia "PIN" ku - decode mawimbi yao wanaweza kubadilisha code. ikitokea hivyo mteja wako atafidiwaje?
  3. Kama ni haramu unayemfanyia huo usamaria wako hawezi kukamatwa kwa kuvunja sheria ya usafirishaji masafa ya Radio na TV?
  4. Jee kuna waranti yoyote unayoitoa kwa mteja wako?
  5. Una namba ya Whatapp, ama Akaunti ya facebook?
 
Habari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....

Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na uwe jirani na king'amuzi chako ili upokee maelezo ya muhimu.

Zifuatazo ni channels utakazo pata
1.MBC2(movies)
2.UHAI TV(Azam Two)
3.TV1
4.JCTV(Bongo movie)
5.ITV
6.TBC
7.CHANNEL10
8.CLOUDS TV
9.EATV
10.STARTV
11.ATN

sms number ya card yako kwenda 0788643144
NB: malipo kwanza ya Tsh 20,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nisadie kitu hapa. Wilaya ninayoishi hakuna masafa yoyte yanashika. Kuna booster yoyote ya kusaidia kukama radio na kuziachia kwa faida ya wakaazi wa hapa? na gharama zake please kama zipo
 
Joselela nina maswali kidogo nikuulize.

  1. Kwa maelezo yako inaonesha kumbe unaweza kuzifuta hizo Chaneli kama ukitaka. Jee huyu anayekupa hela zake atakuwa na hakika gani kama hakuna siku utazifuta na kumfanya awe mateka wa huduma yako?
  2. Hilo Jambo ni halali ama ni haramu. Maana kama ni haramu hao wenye hayo mawimbi wakijua unatumia "PIN" ku - decode mawimbi yao wanaweza kubadilisha code. ikitokea hivyo mteja wako atafidiwaje?
  3. Kama ni haramu unayemfanyia huo usamaria wako hawezi kukamatwa kwa kuvunja sheria ya usafirishaji masafa ya Radio na TV?
  4. Jee kuna waranti yoyote unayoitoa kwa mteja wako?
  5. Una namba ya Whatapp, ama Akaunti ya facebook?
6. Kama unaweza kuzifuta ukitaka, si uweke hata kwa malipo ya baada asielipa unamfutia tu.
 
Habari za asubuhi wadau...
Kama unaking'amuzi cha startimes antenna au dish na haupati local channels either hazipo au hadi ulipie nitafute....

Ninachohitaji ni kadi number ya king'amuzi chako na uwe jirani na king'amuzi chako ili upokee maelezo ya muhimu.

Zifuatazo ni channels utakazo pata
1.MBC2(movies)
2.UHAI TV(Azam Two)
3.TV1
4.JCTV(Bongo movie)
5.ITV
6.TBC
7.CHANNEL10
8.CLOUDS TV
9.EATV
10.STARTV
11.ATN

sms number ya card yako kwenda 0788643144
NB: malipo kwanza ya Tsh 20,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweka namba ya simu, unatumiwa sms hujibu
 
mimi nilienda ofisi za startimes wakaniwekea all local channels bure kabisa,, hizo channels ni za bure unaenda na king'amuzi na card(decorder) yako unawekewa all local channels free,,,, acha uzwazwa
 
Joselela nina maswali kidogo nikuulize.

  1. Kwa maelezo yako inaonesha kumbe unaweza kuzifuta hizo Chaneli kama ukitaka. Jee huyu anayekupa hela zake atakuwa na hakika gani kama hakuna siku utazifuta na kumfanya awe mateka wa huduma yako?
  2. Hilo Jambo ni halali ama ni haramu. Maana kama ni haramu hao wenye hayo mawimbi wakijua unatumia "PIN" ku - decode mawimbi yao wanaweza kubadilisha code. ikitokea hivyo mteja wako atafidiwaje?
  3. Kama ni haramu unayemfanyia huo usamaria wako hawezi kukamatwa kwa kuvunja sheria ya usafirishaji masafa ya Radio na TV?
  4. Jee kuna waranti yoyote unayoitoa kwa mteja wako?
  5. Una namba ya Whatapp, ama Akaunti ya facebook?

Mkuu Allen Kilewella pole sana kwani naona maswali yako hayajajibiwa hadi leo.

Ahsante
 
Back
Top Bottom