Recent content by maiye

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Ya kujenga mwenyewe ni nzuri. Unakuwa una uhakika wa viwango unavyovijua. Sio unanunua nyuma kumbe ina mapungufu kibao yamefunikwa na plaster. Mara mbao haziko treated
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chakula Cha MSIBANI ni kitamu?

    Wali wa msiba mtamu balaa kama msiba haukuhusu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Radio 47 ndiyo Radio Namba 1 hapa Tanzania kwa sasa

    Pale Tanzania ........ Lete Baba....
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

    Yani naona sijui nisome kuanzia chini ndio nitaelewa!!? Au basi
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Ijumaa
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu nilio ukubali ndo huu

    Ikimbieni zinaa.....Shalom watu wa Mungu!
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulia Ackson na uspika wake lakini bado anaheshimu ndoa yake. Wapo wanawake wengi sana ambao mafanikio kiduchu tu wanadharu waume zao

    Kwa hiyo sura na umri aliofikia akileta ngebe aachike hatoboi tena.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi hupelekea wanawake kuwanyima unyumba waume zao?

    Ukiona unanyimwa unyumba na mke ujue wewe ndio tatizo. Kuna vitu haviko sawa upande wako. Mahali ninakotoka mwanaume kusema kanyimwa unyumba ni aibu kubwa sana. Sijui wa mjini
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) Special Thread: Karibu tukuhudumie, tunaomba Maoni, Ushauri, Malalamiko, na hata Pongezi

    Mmefanya jambo jema sana. Ila chonde msiutelekeze huu uzi kama taasisi nyingi zilivyotelekeza nyuzi zao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sehemuwanakofundisha lugha alama

    Tafuta shule yenye watoto viziwi hapo lazima kuna walimu walisoma Elimu maalum. Ongea na mwalimu wa viziwi akufundishe umlipe kifuta jasho
  11. M

    JamiiForums Tanzania Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

    Napiga kambi hapa nami nina la kujifunza
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

    Ongea naye kistaarabu tu....mwambie hivi vitu nimenunua tuvitumie kwa mwezi mzima. Kwa hiyo lazima vifike mwisho wa mwezi. Mwambie kama kuna mtu anaomba umgawie tafadhali akupigie simu umgawie mwenyewe ili ili ujue mmetoa kiasi gani ambacho itabidi kununua vingine kujazia ili kukidhi bajeti ya...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuifinyia kwa ndani ni kwa wote ama baadhi?

    Uvivu tu wa kulima na kazi nyinginezo.
Back
Top Bottom