Hv kweli Nyari na Mzee Mengi wapi na wapi? Mwizi na tajiri wapi na wapi?
Hapa ndipo namlaumu sana Benjamin...na Ubabe wote ule Justine anamshinda? Siamini, na labda watoto hawamsikilizi baba yao Mdogo... Halafu Na nguzo ya Nyari (Banjoo) ishang'oa
Mkuu huo mwaka ndio aliingia magu...na in reality watu wengi sana walianza kufilisikia hapo na ukifilisika Kila kitu kinapotea Kuna waliweza kurudi na Kuna ambao walikata tamaa mm nikiwa mmoja wapo ila mwaka Jana nilijitafuta nikajipata nikasema MUNGU ni mkubwa na anilinde....pambana usikate...
Nakumbuka Mike Mushi..Co owner wa JF
Nakumbuka Game Theory..hatari sana
Field Marshal Es ( R.I.P) le........
nakumbuka Dena Amsi ( ( r.i.p)
Halafu Nguli
B.A.K Bubu ataka kusema
Na yule Mod Mkorofi...P.A.W
Nimewakumbuka sana....
Nikifika May nitakua na 17 yrs hapa JF
Max na Mike mbarikiwe sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.