Recent content by Maisha001

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

    Ndo mara ya kwanza kumsoma CONTROLA sio?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kutengeneza wateja wako mwenyewe, Wateja ndio Msingi wa biashara yako

    Kama kawaida yako mkuu unatema MADINI tupu...kongore kwako! Asante kwa moyo wako wa kiuungwana hivi,Mungu atazidi kukubariki naamini. Hii ni zaidi ya Elimu ya kawaida...Ni Mafanikio ya kudumu. Shukrani sana Mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina 70,000 niifanyie nini

    Kweli kabisa mkuu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nina 70,000 niifanyie nini

    Jamaa anajua sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina 70,000 niifanyie nini

    Mkuu nimekuona...💪💪💪
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unajitangazaje au unawajulisha vipi watu kuhusu biashara yako?

    Duh mkuu umetishaa...salute kwako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wa mke wangu kamleta mwanaye kuishi kwangu ila sipo tayari kubeba lawama baadaye. Nifanye nini kuepuka hili?

    Nijuacho si kila mtu anamudu ama anapenda kuishi na watu. Kama umejaliwa karama hiyo ya kupenda na kuishi na wageni endelea nayo kwa uaminifu na usitarajie malipo,pongezi au asante...mara nyingi malipo huwa kinyume na uliyoyafanya na akutendeae huwa haoni atendacho kuwa kina madhara japo aweza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Walichofanya HELSB sio haki!

    Ulimtabiria vibaya mwenzio,kanywa kweli...!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ifahamu historia ya Wasabato

    Nakupongeza Kwa kujitahidi kuutetea ukatoliki japo umetumia njia ya upotoshaji saana kuliko ukweli wenyewe. Yapo mengi ila naanza na hili,kisha nitarudi tena; 1. Ndugu zangu, hadi hapa umeshagundua mafundisho ya uongo. Mbinguni hakuna hekalu. Huo ndio ukweli wa kibiblia maana mwandishi wa...
  10. M

  11. M

    JamiiForums Tanzania TBC yaandamwa na vifo, watu waogopa viti, hofu yatanda

    Jamaa alikuwa na kanisa kumbe?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isikubali kutangaza “total lockdown” au Karantini. Wanaoishawishi ama hawajui wanachokishauri au ni wabinafsi

    Hakutaweza kuwa na majibu hapo mkuu hata siku moja! Kuna kufuata mkumbo na siyo uhalisia wa Jambo. Nakupongeza saaana kwa ufafanuzi makini na mada yenye tija mkuu.
Back
Top Bottom