CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 6,939
- 22,982
- Thread starter
- #41
Tips ni Zile Zile Mkuu,rudia kusoma hii thread kwa makiniNimepata kitu hapa Asante.
Kwa mfano mimi niko njiani kufungua gift shop maeneo ya mikocheni ni residential area naweza kufanya nini nikavutia watu pale napofungua duka?
mpaka unaimaliza nina uhakika utajua nini cha kufanya...