Recent content by Maisha na afya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Sawa kiongozi shukhrani🙏🙏🙏
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Kiongozi nipe michongo ya Dodoma kama IPO nitafute ada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Kwa Dodoma mbona sioni Seran
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Au kama kuna mtu anaeweza kunipa connection nikapata sponsor wa kunisponsor Mda wa masomo ulobakia itakuwa vizuri zaidi make adi saivi sjapata solution
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante kaka. Vipi kwa Dodoma biashara gani ndogo ambayo inaenda au inaweza kunipa chochote endapo nitapospon na kuchukua boom zote mbili
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Nimekuelewa mkuu lakini changamoto niliyonayo ndo inanifanya nisiendelee na shule siyo mm ndo naamua . Hadi hapa nipo wodini naendelea na field lakini je nitaendelea iviivi bilq kupata basic needs,na chuo kinakaribia kufunguliwa Ada na hela ya kujikimu bado still problem .japo nipe mbinu niweze...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Amina kiongozi ubarikkwe Sana kwa kutoa mda wako kuja kunisikiliza
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante Kwa maoni yako nitayafanyia Kazi na nitaangalia nzuri zaidi . Nipo nasikiliza.karibu sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante Sana mkubwa,umepata moyo wa kunisapoti nashukhuru Sana. Hapa tunasubiria matokeo. Yakishatoka Tu na chuo kikifunguliwa ambapo ni tarehe 12. Nitajitahidi kufanya registration na control number nitakutumia . Shukhurani Sana kwa Moyo wa upendo Mungu akubariki🙏🙏
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante mkuu ikiwezekana itakuwa vizuri zaidi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Biashara nishawahi Fanya ndogo ndogo sana kipindi nipo olevel Ambazo nikama kuuza karanga,miwa japo hata kuuza mifugo nilishajaribu japo inahitaji Imani Sana . Kwa maana hiyo sina uzoefu Sana katika biashara ,japo ni wazo ambalo lilinijia kichwani baada ya kuona kila kitu hakiwezekani na nadhidi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Shukhrani kiongozi
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Siwezi nikanuna kaka kwani saivi natafuta solution ya changamoto kama ni kununa nimenuna mpaka pressure ikapanda ndo nikaamua kuja humu JF. Ndio hapo naomba wazo Kwa upande wako nichukue boom mbili halafu nitapospon ...maanaake nikipospon bila kuchukua boom nitakuwa narudia Yale Yale...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Ahsante mkubwa japo nimepata mawazo ya wachangiaji nitafute sponsor ambao wanaweza nisaidia nisikate tamaa directly
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msada. Nipo njia panda na kuendelea kusoma chuo

    Amina Sana kaka . Kulipa direct kwenye chuo ndo njia Bora ambayo haihitaji usumbufu ,ukilinganisha na cash. Nipo tayari Kwa sponsor kama itapatikana Nitavumilia kwa kuwa umenitia moyo nijiandae na night shift Mungu akubariki Sana mchangiaji
Back
Top Bottom