Recent content by MAISHA BENAKO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Course za afya za kusoma mwaka 2025 zenye uhitaji serikalini

    Physiotherapy ina uzuri gani? Kuhitajika kwake kukoje?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Course za afya za kusoma mwaka 2025 zenye uhitaji serikalini

    Physiotherapy ina uzuri gani? Kuhitajika kwake kukoje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natarajia kwenda Mikumi National Park kutalii

    Naomba mchanganuo wa kutembelea hifadhi ya Serengeti na Hifadhi ya Ngorongoro.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Asante sana. Barikiwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Tatizo ni lipi. Inawezekana naye yumo safarini na anahitaji wa kusafiri nao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Iwapo kuna anayetoka Karagwe, Bukoba, Muleba au Biharamulo Nipo tayari tukutane Lusahunga.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri binafsi kusafiri kutoka Ngara kwenda Dar es Salaam

    Nahitaji usafiri wa gari binafsi kutoka Ngara Kagera kwenda Dar es Salaam. Nasafiri mimi na mke wangu Natamani usafiri uwe Jumatano au Alhamis. Nitachangia nauli.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu yaahirishwa hadi Julai 15 2025

    Utabiri wako haukutimu Paschal.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni "HAIRISHA" au "AHIRISHA"

    Hapana. Hapana. Hapana. Ni Ahirisha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Kabisa. Unaweza kuwa na nyumba yako Songea wakati ukiwa Mwanza kikazi au kiutafutaji ukiwa unapanga nyumba. Hivi si viongozi wetu wakuu wa serikali nao si wanaishi kwenye nyumba za kupanga?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Hasa. Huenda ikawa ni njia ya kupunguza au kukata waombaji.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto upatikanaji wa NaPA Reference number

    Kabisa. Unaweza kuwa na nyumba yako Songea wakati ukiwq Mwanza kikazi au kiutafutaji unapoanga. Hivi viongozi wakuu wa serikali nao si wanaishi kwenye nyumba za kupanga?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila Tanzania

    Kuna tofauti gani kati ya namba 8 na namna 98?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nini cha kuzingatia unapohitaji kujenga fensi?

    Mada nzuri. Asante sana Mhandisi.
Back
Top Bottom