Recent content by Maindainda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Asanteni wote kwa ushauri. Walionitukana siwajali. Walionitia moyo nashukuru. Amenisamehe ila imekuwa ngumu kumkubali mtoto. Namhurumia mtoto. Mungu anipe maisha marefu amalize shule nikiwepo maana amefika kiwango kikubwa cha elimu. Huyo Bazazi hajakuja kumdai tena wala kumuulizia. Kwaherini.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Hayo ni mawazo yako, siyo ya kwangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Auawa kwa kupigwa risasi wakigombea mtoto

    duh, hii mbaya sana, ingawa sijaona bado mtoto anahusikaje hapo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Siyo fix bwana haya mambo yapo mengi kuliko unavyodhani, tangu enzi za baba na babu zetu.......dunia duara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Asante kwa ushauri. Ila sasa unawezaje kum adopt mtoto Tanzania wakati baba yake anaishi? Yani anakubali kukupa tu? Ila kwa wababa wengine wa kiafrika hiyo ni poa tu ndio maana watoto wengi wapo mtaani wanaokota makopo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Asanteni sana sana
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Da Sophy, soma vizuri mada kabla hujachangia. sijasema simtaki mume, bali huyo mwingine, na nina maana yangu ninaposema hivyo, najua ninachokiongea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Jamani mtanisamehe jamaa yupo humuhumu JF, details za kutoa nitachagua
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Ndiyo yupo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Chimunguru umejibu vizuri, ila umejibu kama mwanaume wa kiafrika - wanawake ndiyo wana makosa. Mimi nimesema story yangu, wapo wasiosema. Kina mama wengi wametendewa haya. Sisemi hivi kuhalalisha la kwangu, la hasha, nalionea aibu sana. If only this man could leave me alone.........basi sitaki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Wametoa experiences zao na changamoto wanazokabiliana nazo. Wengi tu wapo Maskini Jeuri, na wote nawashukuru sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Sadist? Nakubali. Jamani nachoka mwenzenu, haya mambo ya kusubiri tukio linatokea lini mpaka wakati mwingine naumwa sijui naumwa nini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Huhuhumu ndani, maisha magumu wewe na kila mtu na siri yake. Sijui nifanyeje, kila kukicha ninawaza hii dilemna
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Sidhani kama atajali, nadhani ndoa yake imeshamshinda
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje ya ndoa

    Ndugu zangu, Katika posts za mwisho zinazohusiana na hii thread nilithubutu kusema kuwa - hawezi kamwe kumfuata mtoto. Kwa maneno anayosema ninamuona ana kila dalili ya kumfuata mtoto huyu. Jamani wanaume mkoje? Kwani kama mtoto lazima ukae naye? Hapo ndipo ndoa itakaposambaratika. Kichwa...
Back
Top Bottom