Recent content by mainchamber

  1. mainchamber

    Huyu Chura wa aina gani?

    ukimshika mkuu kinatokea nn?maana umeongea kwa msisitizo kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mainchamber

    Tulikuwa sawa na China,Vietnam na Thailand lakini sisi Tanzania bado tumedumaa kwasababu hizi

    inaonekana mkuu ww unatembelea V8 ila siku likaisha mafuta ukarudi kwenye mwendo kasi utashuhudia haya yalosemwa ... japo mtoa mada amejaribu kutoa ushauri mm nimemwelewa sana ili tusonge mbele kama taifa pamoja na miradi mingine pia ile ambayo ipo tayari tuisimamie kwa uhakika Sent using...
  3. mainchamber

    Uzi maalum: Madereva magari (Sehem ya 6 & 7)

    kweli kabisa ila kwa kizazi cha sasa ila Chetu wengi walitokea kwenye u-mechanics then atapanda kuwa dereva ndo maana tulijua kuanzia gear liver ,selected roads counter gear mpaka control nizer inavyotenganisha kati ya gear na gear mahusiano ya top shaft na engine na kupata mzunguko wake hayo...
  4. mainchamber

    Uzi maalum: Madereva magari (Sehem ya 6 & 7)

    kwenye hizi gia za kirikuu nilishazisahau huwa nagongaga zile zilizoshindikana gia juu ya gia full H&LOW tukutane senkenke .......ukija na somo la huku juu nitakuja kukusurport
  5. mainchamber

    Clouds Media Group walia na ugumu wa biashara, Kusaga adai wanaweza kufunga hali ikiendelea hivi

    Hapa kusaga aseme ukweli wadhamini ndo wamekimbia kudhamini vipindi na sio eti makampuni ya simu viewers wamepungua hapo katulisha matango pori anyooshe maelezo
  6. mainchamber

    Wasichana 72 huambukizwa VVU kila siku nchini

    Haka kagonjwa kamekaa sehemu mbaya sana daah!
  7. mainchamber

    MEMBE ALONGA: Ashangazwa na namna alivyoitwa na Bashiru, amuita Musiba mwongo, mzushi na mfitini

    Kama 1992 hivi.......ngoja nikatafute sehemu ya ulabu huku kijijini nitulie tuliiii weekend hii
  8. mainchamber

    GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Ama kweli macho na masikio ni yetu waongozwaji tukae mkao wa kuona filamu japo tunataka nchi iende mbele na sii kurudi nyuma tena!
  9. mainchamber

    George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

    Atakutana na aliowaua Kuwait 1990 any way R I P mzungu
  10. mainchamber

    Mbabe SATANA alikufa au bado yu hai?

    Hahahahaahahaa usinikumbishe mechi ya friends ranger uwanja mwananyamala B ngoma zilipigwa nikakimbia peku viatu soksi na t-shirt sikujua nilivivulia wapi mpaka nilipofika kwa alimaua
  11. mainchamber

    DC Hai amtupa rumande saa 48 diwani wa CCM

    Kumbe alishazoea acha sheria ifuate mkondo wake wallah
  12. mainchamber

    Busara itumike kwenye biashara maana wengi wanapoteza mtaji

    Mhhhh hawa ndo usiseme hatuwaonei wivu ila nahisi ni wakati halmashauri kukaaa na kupanga jinsi ya kuandaa hawa vijana na masoko yao kwa ujumla
  13. mainchamber

    Busara itumike kwenye biashara maana wengi wanapoteza mtaji

    Hapo ndipo halmashauri inapotakiwa kuja na plan B ili kufanya mchanganuo maana mwenye duka mpaka anaamua kumpatia machinga mzigo wauze kwa minajili faida itakapopatikana watagawana huoni kuna kitu kilikuwa hakiendi sawa ndo maana mfanyabiashara akabuni mbinu hiyo? Je hapo nani anakomolewa, na...
  14. mainchamber

    Busara itumike kwenye biashara maana wengi wanapoteza mtaji

    Naanzisha uzi huu sio kwa nia ovu bali naangalia usawa ulivyo meza za machinga sasa zipo madukani bidhaa zinazouzwa na hao machinga zinafanana na zilizopo madukani. Huyu machinga yy kama analipa kodi ni ya usafi nk ila mwenye duka analipa kodi zisisopungua nne mpaka tano hili limekaaje upande...
Back
Top Bottom