Samahani ndugu hapo kwenye fula sijapaelewa na Hilton pia sijapaelewaUngeleta mada inayohusu fula gearbox au Hilton ningechangia
Ni somo zuri sana kwa maendeleo ya uendeshaji wa vyombo vya moto,ila kwenye luga ingalikuwa vyema kama tungeweza kutafsiriwa kwa luga mama ingalikuwa bora sana. Ubarikiwe kwa uelimishaji huu.Sehem ya 6
Matumizi sahihi ya gia
View attachment 971210View attachment 971212
Sehem ya 7
Kitu gani kinavuja (tambua aina 7 au 9 za vimiminika vinavyoweza kuvuja kwenye gari lako)
View attachment 971219View attachment 971220
Uzi maalum: Madereva wa magari (Sehem ya 4 & 5) - JamiiForumsNaomba zile link za nyuzi zako za mwanzo
Ubarikiwe sana Mkuu
Ntajitahid kutafsir, nitarud nyuma huko nikienda mbeleNi somo zuri sana kwa maendeleo ya uendeshaji wa vyombo vya moto,ila kwenye luga ingalikuwa vyema kama tungeweza kutafsiriwa kwa luga mama ingalikuwa bora sana. Ubarikiwe kwa uelimishaji huu.
kweli kabisa ila kwa kizazi cha sasa ila Chetu wengi walitokea kwenye u-mechanics then atapanda kuwa dereva ndo maana tulijua kuanzia gear liver ,selected roads counter gear mpaka control nizer inavyotenganisha kati ya gear na gear mahusiano ya top shaft na engine na kupata mzunguko wake hayo ilikuwa lazima utambue,,,,,,samahani kwa kiingereza feki kwani sio lugha yangu wengi tulisomea kwa practical not theoryKwaujumla madereva wengi ndani ya nchi yetu wanafundishwa zaidi kuendesha magari sio kulijua gari kwanza, kwakweli hilo ndilo tatizo kubwa sana maana hata linapo badili tabia anashindwa kuitambua wala kuitafutia ufumbuzi kwa njia ipi. Sheria bila utiifu nazo huchangia ongezeko la uharibifu wa vyombo vya moto na utumiaji mbaya wa mafuta, matairi, usalama wa bara bara na watumiaji wengine, masomo kama haya yanahitajika sana na madereva/watumiaji wa vyombo vya moto wanapashwa kusoma nukta hadi nukta na kukubali kufundishika.