hakuna sababu yoyote ya msingi hapo zaidi ya uonevu,kujihami na kutokujiamini kwa huyu bichwa baya a.k.a jiwe.
Ukiondolea mbali jeshi la polisi,tiss na baadhi ya watumishi wa umma, hakuna CCM..
Hawa wabunge wote wa CCM ni wakusomewa albadiri wachizike ili iwe fundisho...wameshatupima wa tz wakagundua kuna idadi kubwa ya wapumbavu na wajinga wanaounga mkono juhudi
Sikubaliani na hoja zako mbili... eti alifanya kosa kuuhakikishia umma usalama wa kura.....akili za makinikia hizo...sheria ipi kavunja?
Eti upinzani wanawezakuwa wamehusika ktk mauaji haya...
Ni fikra mgando kama c ufukara wa mawazo
Yaani umuue wakili wako mwenye 90% ya kukushindia kesi yako...
Zitto unaweza kupinga kuwa serekali ina matumizi makubwa ktk kukandamiza Opposition?.. madiwani wanaonunuliwa umewahi kujua mshiko wanaokabidhiwa?
Sent from my LT30p using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.